Inashangaza Kenya wanalalamika mambo ya Loliondo na wanahojiwa Aljazeera TV. Je, kuna mamluki Loliondo toka Kenya?

Inashangaza Kenya wanalalamika mambo ya Loliondo na wanahojiwa Aljazeera TV. Je, kuna mamluki Loliondo toka Kenya?

Umewahi kumsikia Mkenya gani anahangaika kuongea kiingereza ? Hao wote wanaoongea ni watanzania usiwasingizie wakenya Kwa weakness za nchi yako
🖕🏾Unajua unakera wewe boya muda mwingine unatakiwa uwe serious kwenye jambo kama hili sasa endelea kuzingua
 
Taarifa ya Aljazeera TV imeambatanishwa kuhusu Wakenya wa Nairobi kutetea Loliondo kuwa Wamasai wabaki, Wakenya wa Nairobi wamewekeza kitu gani huko Loliondo?

Loliondo ni Tanzania wao Wakenya wanahojiwa na Aljazeera kuhusu sheria za ardhi Tanzania na wanapotosha kwa lengo gani?

Propaganda zinafanywa na Kenya kwa kiasi kikubwa kuharibu jina la Tanzania kimataifa, Loliondo ipo Tanzania kwa nini Wakenya wapo mbele kuelezea mambo ya Loliondo yasiyowahusu huko Aljazeera TV

Je, Wakenya wana maslahi na Loliondo?

Je, yale makundi ya mifugo Loliondo ina milikiwa na matajiri wa Kenya wa Nairobi ambao ndio wanahojiwa Aljazeera TV?

Ni Hakika kuna Wakenya wengi huko Loliondo.

Inashangaza Wakenya wa Nairobi ndio wanahojiwa na Aljazeera TV huku wakielezea kwa uchungu kuwa lazima wamasai wabaki Loliondo.

Wakenya wanasema kuna majeruhi katika hospitali za jirani walioumizwa na polisi.

Kwa nini wahojiwe Wakenya wa Nairobi na sio Watanzania wa Loliondo, Loliondo Itakuwa imevamiwa na Wakenya.

Ni wakati wa Serikali kuwa makini na wafugaji na watu toka Kenya waliojazana huko Loliondo.

Video Nimeambatanisha

Kweli kabisa sasa nashangaa kwanini wizara husika wana shin dwa kuwazibiti
 
Wamasai waliamishwa serengeti na kupelekwa Ngorongoro kuinasua Mbuga ya Serengeti kwa manufaa ya taifa mwaka 1959, vivyo hivyo sasa wanaamishwa Ngorongoro kwenda handeni kunusuru Ngorongoro kwa manufaa ya taifa. Manufaa gani, kama huelewi, basi hutonielewa. Manufaa ya taifa ya Serengeti na Ngorongoro yanajulikana, yapo wazi kabisa.

Wamepewa eneo Handeni, waende huko, kukaidi ni kukaidi mamlaka, kichapo kitatembea kama kinavyotembeaga kwa wengine wanaokaidi mamlaka.

Mtwara walijazwa hivyo hivyo, manufaa ya gesi wayapate wao tu, hakuna kitu kama hicho Tanzania.

Pia watu wanachanganya kinachoendelea Ngorongoro na Loliondo, ni vitu viwili tofauti, japo vyote vina wa affect watu wa jamii moja.

Tanzania ni yetu sote, uishindwa staarabika, utastaarabishwa.
Mwaka 1959 hapakuwepo na siri ulizokiri kuwepo kwenye uhamishaji wa sasa. Kwanini wakati huu wamasai wahamishwe kila kikundi cha watu kinapoingia madarakani?

Kama huna jibu ya hilo swali bora ukae kimya.
 
Vyombo vya habari vya Mapaka😁😁😁
image26.jpg
 
Dawa yao hawa majirani ni kuteremsha cost za watalii nchini sacrifying some income to increase volume or base to earn more income na kupromote utalii kwa nguvu ili watalii wamiminike Tanzania.
 
Ukitaka hiyo image ya nchi ibaki heshimu uchaguzi, kinyume na hapo hayo unayotaka ni bure tu.

Kwako uchaguzi ni kitu muhimu sana, hivi unafikiri chaguzi duniani ndio zinatoa viongozi?.... ukiona mtu anakuwa Rais kokote pale ujue wapo watu nyuma ya huo Urais..

Hata USA, pamoja na raia kupiga Kura bado wapo watu nyuma ya pazia wanaochagua Rais wa nchi for sake of Nation interest.

Hivi unajua kwanini Mbowe lazima awe mwenyekiti CDM? na any mess with his chair will put someone indanger..? basi ukilijua hili utajua pia kwanini na URAIS hautikani na uchaguzi popote pale..

Sio raia wote wanaitumia vizuri haki ya kuchagua na kuchaguliwa, na ni hatari kuwaacha wachagua maana wanawezi kuchagua chagua lisilo sahihi kwa usalama wa Taifa na interest za Taifa......Mgombea Urais kutoka chama chochote mwenye nguvu lazima afanyiwe vetting mahala fulani na ikigundulika sio mtu sahihi hata akishinda uchaguzi hawezi kuwa Rais..
 
Imebidi nicheke sana, nikiangalia baadhi ya waliopata kuwa maraisi wetu hapa nchini, na hiki unachoeleza naishia kucheka tu. Halafu unaweza kukuta kuna mahali unawaambia hiki ulichosema, na wanakuona una uelewa mpana sana.
 
Ungejiuliza kwanza kwanini Aljazeera wanawahoji watu nchini Kenya, badala ya kufika sehemu ya tukio Loliondo. Alafu ujue kwamba umaasai haujui mipaka, toning'o shangigi seedfarm ?
 
Imebidi nicheke sana, nikiangalia baadhi ya waliopata kuwa maraisi wetu hapa nchini, na hiki unachoeleza naishia kucheka tu. Halafu unaweza kukuta kuna mahali unawaambia hiki ulichosema, na wanakuona una uelewa mpana sana.

inawezekana hao wakawa na afadhali kuliko unaowafikiria....

Hata USA walimpa Urais Trump japo wengine tuliona ni taahira na kuwashangaa..George Bush Junior aliongoza USA pamoja na utaahiri..

Vipo vigezo vingi unavyovijua na usivyovijua ambavyo hutumika kumpa mtu hiko kiti na kuangalia kila kipengele kwa ajili ya maslahi ya nchi.... huo upande unaoufiria unafikiri nani? EL au TL au FAM....? au Babu Slaa? Siasa ni upande mdogo sana kuhusu usalama wa nchi na ustawi wa nchi...
 
Sisi waafrica tuna Laana ,

Mbona Tanzania enzi za Nyerere ilipigania harakati za uhuru south Africa, msumbiji na nchi zingine za Africa.

Leo muafrica akiuawa Marekani utashangaa unaandika Black LIVES MATTERA ILA mmasai anateswa na mtanzania mwenzako na anatokea mkenya kuonesha kusikitishwa unaleta porojo
 
inawezekana hao wakawa na afadhali kuliko unaowafikiria....

Hata USA walimpa Urais Trump japo wengine tuliona ni taahira na kuwashangaa..George Bush Junior aliongoza USA pamoja na utaahiri..

Vipo vigezo vingi unavyovijua na usivyovijua ambavyo hutumika kumpa mtu hiko kiti na kuangalia kila kipengele kwa ajili ya maslahi ya nchi.... huo upande unaoufiria unafikiri nani? EL au TL au FAM....? au Babu Slaa? Siasa ni upande mdogo sana kuhusu usalama wa nchi na ustawi wa nchi...

Kama wanapewa hizo nafasi kwa hivyo vigezo, huwa tunapiga kura za nini? Si bora wawape tu hizo nafasi bila kutupotezea muda na fedha? Hii ndio sababu sasa hivi tunaendesha kampeni ya kuhakikisha watu wengi hawajitokezi kupiga kura, ili hao wanaopitisha hao viongozi wasipate usumbufu kwenye kampeni kuwanadi watu tusiowataka.
 
uchaguzi ni formality tu duniani kote ili kusatify the so called matakwa ya demokrosia, sio Tanzania tu ni duniani kote.
Lakini pia ni tool ya Mzungu kuhakikisha anaendelea kuwa na influence kwenye makoloni yake na kutengeneza mitafaruku...

Hao unaowahamasisha wasipige au wapige kura bado wapo watakaoonekana wamepiga kura kukidhi matakwa ya demokrasia na dunia ifahamu kulikuwa na uchaguzi...na kwakuwa interest za mambwanyenye wa dunia zinapatikana hapa basi hawawezi kufanya kitu na hata wakifanya kitu basi kubinya zaidi watanzania ili wapate maslahi zaidi..

Hakuna pia anayeweza kupewa dola kama mabwanyenye wa dunia hawana uhakika naye, otherwise kuwe na shida ya maslahi yao na wewe umewahakikishia maslahi yao hapo KESHO TU CCM unaitoa madarakani..
 
Yani hakuna kabila lilipewa upendeleo kama wamasai nchi hii, wamekaribishwa karibu kila mkoa na kutengewa maeneo ya kulishia mifugo yao, ila kutwa kucha wao ni ugomvi na wakulima, kulisha kwenye mashamba ya watu wao kwao ni sawa.

Hakuna mtu aliyejuu ya sheria.

Hata mimi nashangaa. Kwa nini wamasai wakihamia eneo fulani la nchi, lazima serikali ianze kuandaa sijui mara eneo la malisho, makazi, mashamba nk. lkn wananzengo wengine wanapohama nchini wala hawahitaji serikali iwafanyie mpango na utaratibu wowote ule. wao wana nini cha mno!?/
 
Back
Top Bottom