Inashangaza Kenya wanalalamika mambo ya Loliondo na wanahojiwa Aljazeera TV. Je, kuna mamluki Loliondo toka Kenya?

Inashangaza Kenya wanalalamika mambo ya Loliondo na wanahojiwa Aljazeera TV. Je, kuna mamluki Loliondo toka Kenya?

Siri zao wanazijua wao.

Bottom Line, kwa sheria ya Tanzania, serikali inaweza mwamishwa mtu yoyote, mahali poppte, kwa manufaa ya taifa.

Halafu siyo kwa Tanzania tu, ila ni duniani kote. watu wanahamishwa kupisha miradi yenye masilahi ya mataifa yao.
 
Hata mimi nashangaa. Kwa nini wamasai wakihamia eneo fulani la nchi, lazima serikali ianze kuandaa sijui mara eneo la malisho, makazi, mashamba nk. lkn wananzengo wengine wanapohama nchini wala hawahitaji serikali iwafanyie mpango na utaratibu wowote ule. wao wana nini cha mno!?/
Hapo inabidi makabila mengine tupinge huu ujinga. Wanasomeshewa mpaka watoto Wao mpaka nje ya nchi.
 
Huyu Mkenya [emoji1787] hawa kima wanapenda kujipendekeza sana pua zao kila sehemu Hata mambo yasiyowahusu!
Halafu watanzania wanashabikia Kenya bila kujijua
 
Wewe unaejua lafudhi za watanzania wote tuambie ziko ngapi?
Lafidhi ya Tanzania haijifichi kamwe tukiongea English. Huyo ni Mkenya period kama unawashadadia shauri yako wewe. Siye wenye akili tumewashitukia
 
Yule mnayemwita "Mama" aliwaambia "anafungua mipaka ya nchi" ninyi mkashangilia na kusema "anaupiga mwingi".
Sasa hayo ndiyo madhara ya kuifungua nchi. Majirani wanaingia na kutoka watakavyo. Loliondo kumejaa mifugo ya majirani kuzidi mifugo yetu sisi wenye nchi.
Majirani wanatetea maslahi yao kwa kisingizio cha "umaasai".
 
Hapo inabidi makabila mengine tupinge huu ujinga. Wanasomeshewa mpaka watoto Wao mpaka nje ya nchi.
Kabisa mkuu. Yaani wao wanachukuliwa special group wapo juu ya sheria aisee watoe ujinga wao. Mazao ya wakulima wanalisha mifugo yao wakiambiwa wahame hii ni hifadhi hawaelewi.
 
Taarifa ya Aljazeera TV imeambatanishwa kuhusu Wakenya wa Nairobi kutetea Loliondo kuwa Wamasai wabaki, Wakenya wa Nairobi wamewekeza kitu gani huko Loliondo?

Loliondo ni Tanzania wao Wakenya wanahojiwa na Aljazeera kuhusu sheria za ardhi Tanzania na wanapotosha kwa lengo gani?

Propaganda zinafanywa na Kenya kwa kiasi kikubwa kuharibu jina la Tanzania kimataifa, Loliondo ipo Tanzania kwa nini Wakenya wapo mbele kuelezea mambo ya Loliondo yasiyowahusu huko Aljazeera TV

Je, Wakenya wana maslahi na Loliondo?

Je, yale makundi ya mifugo Loliondo ina milikiwa na matajiri wa Kenya wa Nairobi ambao ndio wanahojiwa Aljazeera TV?

Ni Hakika kuna Wakenya wengi huko Loliondo.

Inashangaza Wakenya wa Nairobi ndio wanahojiwa na Aljazeera TV huku wakielezea kwa uchungu kuwa lazima wamasai wabaki Loliondo.

Wakenya wanasema kuna majeruhi katika hospitali za jirani walioumizwa na polisi.

Kwa nini wahojiwe Wakenya wa Nairobi na sio Watanzania wa Loliondo, Loliondo Itakuwa imevamiwa na Wakenya.

Ni wakati wa Serikali kuwa makini na wafugaji na watu toka Kenya waliojazana huko Loliondo.

Video Nimeambatanisha

Sasa wewe unadhani anayestahili lawama hapo ni nani kama siyo serikali inayoshindwa kulinda mipaka yake?
 
Kabisa mkuu. Yaani wao wanachukuliwa special group wapo juu ya sheria aisee watoe ujinga wao. Mazao ya wakulima wanalisha mifugo yao wakiambiwa wahame hii ni hifadhi hawaelewi.
Mpaka Leo Wamasai wanaviunja sheria ya kuoa watoto chini ya miaka 18. Ukienda gerezani Hawapo Hata mahakamani kesi zao za ubakaji hazipo.Wanajisahau sana. Eti ardhi ya wamasai. Kila kabila likiwa na ardhi yake nchi itagawanyika vipande vipande.

Watu Wa Lindi na Mtwara walipinga gesi isipelekwe moja Kwa Moja DSm bila kuanzia kwao kujenga mitambo lakini Serikali ilitumia uwezo wake kuipeleka DSm Ili kutimiza malengo ya kitaifa.
Kwa Nini wamasai wajione special WAKATI wote tunaongozwa na sheria moja ya ardhi bila ubaguzi.
 
Kama una ushahidi wa mamluki wa Loliondo toka Kenya peleka ushahidi wako polisi, lakini kama unahisi kaa kimya.

Wakenya wana haki ya kupinga ukatili wanaofanyiwa wamasai wa Loliondo na serikali ya Tanzania, kama ambavyo wapenda haki duniani kote wanaruhusiwa.

Wewe huna haki yoyote ya kuwafunga midomo wakenya. Hakuna propaganda inayofanywa na wakenya kuharibu jina la Tanzania.

Jina la Tanzania linaharibiwa na serikali yetu wenyewe kwa ukatili wake kwa wananchi wake, yeyote anayekemea ukatili huo hawezi kuwa anaharibu jina la Tanzania.

Serikali ya kidikteta iliyovitisha vyombo vya habari kuripoti juu ya ukatili wanaofanyiwa wamasai wa Loliondo inastahili kukemewa sio na wamasai wa Kenya pekee, bali toka pande zote za dunia.
Nawe ni mamluki tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka Leo Wamasai wanaviunja sheria ya kuoa watoto chini ya miaka 18. Ukienda gerezani Hawapo Hata mahakamani kesi zao za ubakaji hazipo.Wanajisahau sana. Eti ardhi ya wamasai. Kila kabila likiwa na ardhi yake nchi itagawanyika vipande vipande.

Watu Wa Lindi na Mtwara walipinga gesi isipelekwe moja Kwa Moja DSm bila kuanzia kwao kujenga mitambo lakini Serikali ilitumia uwezo wake kuipeleka DSm Ili kutimiza malengo ya kitaifa.
Kwa Nini wamasai wajione special WAKATI wote tunaongozwa na sheria moja ya ardhi bila ubaguzi.
Kabsa mkuu. Wana bebwa saana. Kwani wao wananini kwanza mkuu cha kuwafanya waonekane special.? Hawana ulemavu wowote. Na hapo ukute wanaongezeka wengine kutoka nchi jirani au mikoa jirani wanaitana. Afu hawa watu bwana tabu saana. Mazao ya wakulima wanalisha wao afu wakiguswa tu wanaleta ujuaji mno wa kutishia watu kwa mapanga na sime. Ili twende sawa mengine lazima wanyooshwe kama wengine wamavyonyooshwa. Hawataki kutii sheria basi kibano kiwe halali yao
 
Hadi lini Watanzania mtasuluhisha shida zenu muache kulialia eti Wakenya wanawadhulumu.
 
Taarifa ya Aljazeera TV imeambatanishwa kuhusu Wakenya wa Nairobi kutetea Loliondo kuwa Wamasai wabaki, Wakenya wa Nairobi wamewekeza kitu gani huko Loliondo?

Loliondo ni Tanzania wao Wakenya wanahojiwa na Aljazeera kuhusu sheria za ardhi Tanzania na wanapotosha kwa lengo gani?

Propaganda zinafanywa na Kenya kwa kiasi kikubwa kuharibu jina la Tanzania kimataifa, Loliondo ipo Tanzania kwa nini Wakenya wapo mbele kuelezea mambo ya Loliondo yasiyowahusu huko Aljazeera TV

Je, Wakenya wana maslahi na Loliondo?

Je, yale makundi ya mifugo Loliondo ina milikiwa na matajiri wa Kenya wa Nairobi ambao ndio wanahojiwa Aljazeera TV?

Ni Hakika kuna Wakenya wengi huko Loliondo.

Inashangaza Wakenya wa Nairobi ndio wanahojiwa na Aljazeera TV huku wakielezea kwa uchungu kuwa lazima wamasai wabaki Loliondo.

Wakenya wanasema kuna majeruhi katika hospitali za jirani walioumizwa na polisi.

Kwa nini wahojiwe Wakenya wa Nairobi na sio Watanzania wa Loliondo, Loliondo Itakuwa imevamiwa na Wakenya.

Ni wakati wa Serikali kuwa makini na wafugaji na watu toka Kenya waliojazana huko Loliondo.

Video Nimeambatanisha

Nashauri lianzishwe jukwaa la takataka zikae nyuzi kama hizi 🚮 , mipaka imeletwa na wazungu sisi sote ni ndugu, One Africa
 
Mamluki ni Samia ambae anagawa ardhi yetu kwa waarabu.
16554476983514.jpg
 
Back
Top Bottom