Inashangaza mkuu wa nchi kutaka wananchi wake wawe wanakula lishe bora wakati hawawezi kumudu bei za vyakula wasizoweza kuzimudu.

Inashangaza mkuu wa nchi kutaka wananchi wake wawe wanakula lishe bora wakati hawawezi kumudu bei za vyakula wasizoweza kuzimudu.

Wewe uliona mvua mwaka huu kuwa nchi kama nchi tulivuna saana au ulikua ughaibuni. ? Mfumuko wa bei za vyakula umechangiwa na mavuno hafifu kutokana na ukame. Mwaka haukua na mavuno huu. Nenda kule jukwaa la kenye utaona bei ya sembe kenya uje ulinganishe na hapa bongo.
 
Sawa mkuu

Sasa yeye Kama taasis ya urais amechukua mbinu gani punguza huu mfumuko wa Bei?

Je kuongeza tozo wakati huu mfumuko wa Bei za vitu n mkubwa n sahhi?

Lishe Bora n jambo mtambuka Sana je tunavyo viwanda vya kuongeza thaman mazao yetu kwa kuongeza viin lishe?

Wakulima wanawezeshwa kwa nyemzo na pembejeo?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
mngetwambia kwanza vile viwqnda vya yule punguani vipo wapi
 
Leo hii bei ya nafaka kama mchele na unga imepaa maradufu kabla ya ya huyu mkuu wa nchi kuingia madarakani.

Kabla ya kuingia madarakani mchele ulikuwa ukiuzwa sh 1200 kwa kilo . Sasa hivi Mchele unauzwa sh 3600 kwa kilo.

Huko mitaani wananchi wanalia juu ya ugumu wa maisha. Maana uchumi umekwama. Hali ya mzunguko wa pesa ni nduni na raia wanalia.

Maisha ni magumu . Kupata mlo ni ngumu alafu mkuu mkuu wa nchi anataka wananchi wapate lishe bora ili wazaliane. Hii ina wezekana?
Hivi unataka chakula bora au chakula cha bei kubwa?Unataka ule mlo kamili au unataka ule mara nyingi kwa wingi?
 
Kwani wewe hujaona juhudi za serikali kupambana na mfumuko wa Bei? Hujaona serikali ikitoa mabillioni ya pesa katika juhudi za kukabiliana na mfumuko wa Bei?
Jamaa wa selikalini wajanja sana wanajifnya wanatoa hela afu iyo hela wanairudisha kwa njia ya tozo
 
Lini mh Rais wetu mpendwa amepandisha Bei ya hizo nafaka? Ulitaka huo unga uuzwe kwa shilingi ngapi? Nchi gani ambako havijapanda vitu? Unajuwa wakulima walinunua mbolea kwa shilingi ngapi msimu uliopita? Unafahamu gharama za kilimo wewe?

Kwa hiyo ulitaka wakulima wawe wakulia machozi kila siku? Ulitaka wakulima wawe watu wakuteseka juani na kwenye mvua halafu jasho lao liliwe na watu wachache walio kaa kimvuli? Ulitaka wakulima wawe watu wa kupata hasara kila siku? Ulitaka kila siku wakulima waendelee kubaki pale pale na ufukara wao?

Wewe nakuona na nakufuatilia Sana humu jukwaani na imeonyesha waziwazi kuwa unachuki binafsi na mh Rais wetu mpendwa na unatamani kuona akishindwa kuongoza nchi, hupendi kuona mafanikio ya mh Rais, hutaki kuona akifanikiwa kwa lolote lile na unaumia moyo wako Sana unapoona mamilioni ya watanzania wanyonge wakiendelea kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa

Kilimo Ni Biashara Kama unataka nenda na wewe shambani ukalimee ili uuze kwa Bei hata ya Mia kwa kilo ili kufurahisha moyo wako, Muache mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani atutumikie watanzania tunaoendelea kuhitaji utumishi wake, wewe Bali na chuki zako hapo hapo ulipo uone Kama zitakufikisha popote pale
Ukipata like 10 mi niite mbwa !! Nimekaa hapo nasubiri
 
Bei ya vyakula kupaa juu siyo kosa la rais. Ziffuatazo ndiyo sababu:-
1. Korona
2. Vita ya Ukraine na Russia
3. Uzalishaji umepungua kwasabb vijana wengi wamekimbilia mijini kufanya kazi za uchawa, bodaboda, udalali, udangaji, kucheza pool, kubet n.k. Kazi za shamba wanafanya wazee.

N.B: Kama unaona bei ya vyakula iko juu kalime vyako.
Ukifikisha Like 20 !! Niite mbwa nakaa paleee nasubiri
 
Back
Top Bottom