mngetwambia kwanza vile viwqnda vya yule punguani vipo wapiSawa mkuu
Sasa yeye Kama taasis ya urais amechukua mbinu gani punguza huu mfumuko wa Bei?
Je kuongeza tozo wakati huu mfumuko wa Bei za vitu n mkubwa n sahhi?
Lishe Bora n jambo mtambuka Sana je tunavyo viwanda vya kuongeza thaman mazao yetu kwa kuongeza viin lishe?
Wakulima wanawezeshwa kwa nyemzo na pembejeo?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hivi unataka chakula bora au chakula cha bei kubwa?Unataka ule mlo kamili au unataka ule mara nyingi kwa wingi?Leo hii bei ya nafaka kama mchele na unga imepaa maradufu kabla ya ya huyu mkuu wa nchi kuingia madarakani.
Kabla ya kuingia madarakani mchele ulikuwa ukiuzwa sh 1200 kwa kilo . Sasa hivi Mchele unauzwa sh 3600 kwa kilo.
Huko mitaani wananchi wanalia juu ya ugumu wa maisha. Maana uchumi umekwama. Hali ya mzunguko wa pesa ni nduni na raia wanalia.
Maisha ni magumu . Kupata mlo ni ngumu alafu mkuu mkuu wa nchi anataka wananchi wapate lishe bora ili wazaliane. Hii ina wezekana?
So relevant to the current situation in TZUmeniwahi nilitaka kuzungumzia hili shairi.eat more blood grass
Kenya hapo maihindi yaliwekewa ruzukuHebu tutajie nchi ambazo Rais wao amefanya juhudi ya kushusha bei ya vyakula ili nasi tukahemee
Jamaa wa selikalini wajanja sana wanajifnya wanatoa hela afu iyo hela wanairudisha kwa njia ya tozoKwani wewe hujaona juhudi za serikali kupambana na mfumuko wa Bei? Hujaona serikali ikitoa mabillioni ya pesa katika juhudi za kukabiliana na mfumuko wa Bei?
Ukipata like 10 mi niite mbwa !! Nimekaa hapo nasubiriLini mh Rais wetu mpendwa amepandisha Bei ya hizo nafaka? Ulitaka huo unga uuzwe kwa shilingi ngapi? Nchi gani ambako havijapanda vitu? Unajuwa wakulima walinunua mbolea kwa shilingi ngapi msimu uliopita? Unafahamu gharama za kilimo wewe?
Kwa hiyo ulitaka wakulima wawe wakulia machozi kila siku? Ulitaka wakulima wawe watu wakuteseka juani na kwenye mvua halafu jasho lao liliwe na watu wachache walio kaa kimvuli? Ulitaka wakulima wawe watu wa kupata hasara kila siku? Ulitaka kila siku wakulima waendelee kubaki pale pale na ufukara wao?
Wewe nakuona na nakufuatilia Sana humu jukwaani na imeonyesha waziwazi kuwa unachuki binafsi na mh Rais wetu mpendwa na unatamani kuona akishindwa kuongoza nchi, hupendi kuona mafanikio ya mh Rais, hutaki kuona akifanikiwa kwa lolote lile na unaumia moyo wako Sana unapoona mamilioni ya watanzania wanyonge wakiendelea kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa
Kilimo Ni Biashara Kama unataka nenda na wewe shambani ukalimee ili uuze kwa Bei hata ya Mia kwa kilo ili kufurahisha moyo wako, Muache mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani atutumikie watanzania tunaoendelea kuhitaji utumishi wake, wewe Bali na chuki zako hapo hapo ulipo uone Kama zitakufikisha popote pale
Ukifikisha Like 20 !! Niite mbwa nakaa paleee nasubiriBei ya vyakula kupaa juu siyo kosa la rais. Ziffuatazo ndiyo sababu:-
1. Korona
2. Vita ya Ukraine na Russia
3. Uzalishaji umepungua kwasabb vijana wengi wamekimbilia mijini kufanya kazi za uchawa, bodaboda, udalali, udangaji, kucheza pool, kubet n.k. Kazi za shamba wanafanya wazee.
N.B: Kama unaona bei ya vyakula iko juu kalime vyako.
Ukifikisha Like 20 !! Niite mbwa nakaa paleee nasubiri
Yes.serikari iweke mazingira wezeshi ili wanainchi waweze kumudu gharama za maishaSo relevant to the current situation in TZ
Kwa kweli !!Walaumiwe wabunge wa kijani kwa kushindwa kuisimamia serikali.
Hapo tu aliongea ukweli !!Za kuambiwa changanya na za kwako...