hapo ndio kioja kilipo[emoji3][emoji3][emoji3]Sasa kuna raha gani kuangalia marudio kwenye TV?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] hatari huyu kauwaPia hata uwanjani wengine wanakuja na redio nao vipi?
Daah nimecheka sana aiseePia hata uwanjani wengine wanakuja na redio nao vipi?
Huwa wanasikiliza matokeo ya mechi nyingine mbali na wanayoishuhudia uwanjaniPia hata uwanjani wengine wanakuja na redio nao vipi?
Pia hata uwanjani wengine wanakuja na redio nao vipi?
Mkuu ulisha wahi kumsikiliza mwalimu kashasha ndio utajua utamu radioSiku za hivi karibuni kumekuwa na mwamko kwa Watanzania kufuatilia ligi kuu ya hapa nyumbani,ujio wa Azam TV unawakusanya wapenda soka kwenye vibanda umiza hasa zinapocheza SIMBA au YANGA.
Maajabu makubwa ni pale unapomuona mtu kalipia pesa aangalie mpira kwenye TV lakini muda mwingi anautumia kuusikiliza kwenye radio.
Huwa najiuliza tatizo ni nini?
(a) Aamini anachokiona hivyo lazima asikilize na chombo kingine?
(b)Watangazaji wa TV hawana ladha?
(c)Mazoea ya mpira kusikiliza redioni tangu enzi?