Haiko hivyo ChiefHuyu ni dikteta, Watanzania wana haki ya kuomba ruhusa kwa waajiriwa wao ili wakagombee nafasi yoyote ile ya uongozi na kama watashindwa wanaruhusiwa kurudi kwenye ajira zao bila matatizo lakini kwa kuwa kuna dikteta magogoni basi ndiyo hivyo tena.
Kwa ufupi nafasi za kuteuliwa na rais siyo permanent and pensionable! Hivyo hazina kusema eti ruhusa, ni kufukuzwa kazi then jina linatupwa otherwise kama ulikuwa teacher rudi hukoKama ni kwa wale wanafasi za kuteuliwa na mimi namuunga mkono Magufuli, kwenda kuomba nafasi ya ubunge wakati wewe unajua kuwa Rais alikuteua kuwa RC, DC, IGP na nafasi zingine za kuteuliwa ni kumkosoa na kumdharau Rais kuwa alifanya makosa kukuteua katika nafasi ulionayo.
Nafasi yako ulitakiwa uwe mbunge au nafasi nyingine, kama sivyo basi walitakiwa wakatae mapema nafasi za kuteuliwa wabaki kwenye nafasi zao za awali au wasubiri kazi wanazoona zinawafaa wao.
Haiko hivyo Chief
Unaruhusiwa kutia nia ya kugombea ukiwa mtumishi
Ukichaguliwa tu na chama chako unaacha utumishi
Ukipata ubunge unaenda ,ukiukosa na kazi ndo ushakosa hivoo u cant come back
Ndio maana kuna watu wanaamini anamtatua!Yure muruke... Yure mupe......!!!!
Hivi unajua ata hiyo ajira ya ualimu barua ya kukutamburisha inatamka kua umeteuliwa nasi kwajiriwa?Mkuu izi nafasi za kuteuliwa aliyekuteua anaweza kukutengua kulingana na kasi anayoihitaji kwenye serikali yake . Ualimu ni ajira ya kudumu ya utumishi wa umma kwa utaratibu ukiomba ruhusa bila malipo kwa mwajiri wako atakupa utaratibu wa kufuata.
Ndoto za mtu hazitawaliwi na mtu mwingine hata kwa maagizo...kila binadamu na ndoto zake ndugu yangu ,mfano n mdogo leo Magufuli anateua baadhi ya maaskari wanajeshi na mapolisi kwenye nafasi ambazo ni za kiraia (zamani watumishi kama walikuwa wakiteuliwa wakiwa wamekwisha staafu) ila siku hizi anateua wakiwa kazini hatukatai ila kwa nini na wao wasitumikie nafas walizonazo waachie wengine nafasi.Mkuu izo nafasi tayari wanazo wazifanyie kazi tu ili walete maendeleo kwa wananchi na taifa kwa ujumla.ubunge waache na wengine ambao hawana nafasi wakatumikie wananchi. me nakuelewa Sana mh. Rais kwenye hili
Yani hawa wabunge wenye majimbo ya mawaziri wateule watulie tu wawe wapole wasubili teuzi zao mpya maisha yaendelee.Afu ujue kabudi anapigiwa kampeni wazi wazi tena kwao kilosa, Baba wa kabudi alikaa Kilosa kama Mwinjilisti ndio jamaa kazaliwa kule lakini ni mgogo leo hii anaitwa mtu wa Kilosa na jimbo anapewa na hana hata kibanda pale anafikia hotel
Hivi ni kweli hukumbuki wakti wa JK nambi yalivyokua hovyo?Tulikua na kila aina ya uchafu tangu EPA mpaka wenye ncho wkikua wanatutukana hata uliwa kituo cha polisi?Leo tunaheshimina,tulikua hatuna hata ndege,umeme ndio usiseme makampun yakilipwa mabilion hata bila kuzalisha umeme,makampuni ya kuchimba madini jinsi tulivyoingia mikataba ya ajabu ajabu inayofilisi nchiAmeyafanya mengi yapi, mbona mie siyaoni? Hivi hujaona akina Kikwete walivyosambaza barabara nchi nzima?
Miaka mitano umeona barabara gani ya maana imejengwa
Ila wengine mumeumbwa muwepo tu kwa ajili ya kutoa lawama ,sasa hapo kosa lipo wapi?mnataka Mh raisi awafanye nini?
Nimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia?
Binafsi naona sio sawa jamani au kwa vile ni nafasi za kuteuliwa? Najiuliza wale wa kwenye Sector zisizo za kuteuliwa i.e Watumishi wengine mfano walimu n.k wakiomba ruhusa nao wataachishwa kazi badala ya kupewa ruhusa. It means ukishindwa imekula kwako.
Hii ndo Tanzania ya Magufuli.
Kama double standards vile, kina Kabudi nao wataachishwa?
Bashite ataomba na atapewa jina halitakatwaHivi Makonda ameishaomba ruksa?
Ruhusa maana yake, ukirudi unarudi kwenye nafasi yako. Hapa naona wanatumbuliwa na wakishindwa kura za maoni maana yake imekula kwao.