Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
- Thread starter
- #181
Kwenye maisha usipokuwa na tamaa utaendelea kweli ?Wote tusingekuwa na tamaa basi tungeishia la kwanza. Binadamu ili usonge mbele lazima utoke kwenye comfort zone.I knw!
Lakini kwa hali ilivyo ss,namuonea huruma! Aombe Mungu tu amsaidie!
Polepole alisema waache tamaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima kila hatua unayofika utamani kwenda mbele zaidi mpaka hapo kifo au ugonjwa utakaokuzuia kusonga mbele vikupate.