KWELI Inashauriwa kumtahiri mtoto kati ya siku za mwanzoni hadi wiki ya 8 baada ya kuzaliwa

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Je, Tohara hupunguza ukubwa wa uume?

Uhalisia: Si kweli


Tofauti na jinsi ambavyo watu wengi huamini, tohara haiwezi kudumaza afya ya sehemu za siri za mwanamme hata kama itafanyika kwa mtoto mchanga. Soma zaidi hapa ufuatiliaji wa JamiiCheck pia.

Ukuaji wa viungo vyote vinavyounda mwili wa binadamu huongozwa na mifumo rasmi iliyoshikizwa kwenye vinasaba vya urithi pamoja homoni mbalimbali za mwili.

Msingi wa taarifa hizi hauwezi kuathiriwa kwa kukata ngozi ya mbele inayofunika sehemu hizo.

Kama ambavyo mtu huzaliwa akiwa na asili ya urefu, ufupi, macho makubwa au kipara na asiwe na uwezo wa kuibadili asili hii, vivyo hivyo kwa ukubwa au udogo wa maungo haya muhimu kabisa kwa afya ya uzazi wa mwanamme kwa sababu kinacho ondolewa ni ngozi tu, siyo kichwa wala nyama ya sehemu hizo.
 
Nina ushuhuda maana nimefanya kazi na madokta bingwa wazee
Dokta bingwa wa Tanzania? Hauko serious. Tunaongelea hapa tafiti za kimataifa kutoka vyuo na taasisi reputable sio dokta aliyetibu watu 10 ndio anafanya conclusion.
 
Govi sio ugonjwa ataenda kwenyewe kutairiwa m sina muda huo.
 
Kuna kazi yangu moja hua inamsifia mshkaji flani hajalikata, basi hua anaisifia linavyo mpara hadi mimi nakasirika. Kuna kipindi nilianza kujuta kwanini mshua alinipeleka jando aiseeee....🫀
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‡Siwezi kusema naogopa lawama walimwengu nawajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…