Inasikitisha Iran kuwafukuza raia milioni 2 wa Afghanistan waliokimbia utawala wa Taliban

Waislamu wahanga wa vita hukimbilia nchi za ulaya, na amerika. Ukikimbilia kwa taifa la kiarabu wanaweza kukuua.
Wanakimbilia kwenye Nchi za Makafiri wenye Ranch za Nguruwe na mabucha katika supermarket kila kona bado kuna Bar na Night Clubs na viwanda vya kurekodi Pornograph

How comes Waislam wenye imani wanaenda kuishi katika maeneo yaliyojaa Ukafiri hivyo?
 
sisi waislamu ni kama Wakatoliki, ziongwa mbali zitendwa mbali.
Huwezi kuua kwa gharama ya bikra 72.
Huwezi abudu sanamu na kusema unaiheshimu.
wote ni wamoja, waulize wa -Iran wamepokea wakimbizi wangapi kutoka GAZA.
Waulize kwanini hao WAISLAMU wa Gaza wanalimbilia nchi za Wakristo wa kawaida na siyo Italy, Roma, kwa papa ?
 
😀😀😅🤣😅🤣 kaka, Wamanyoni huaga weupe weupe bhana, sio weusi kama wa Geita.
 
Umemkimbia yesu ? good , one step, Yesu amesema amekuja kwa wayahudi tUUUUUU. Karibu sana kwenye dini ya kweli na haki, UISLAMU

Hiyo siyo dini, mbona hamuelewiii???
Uislam ni chombo cha waarabu cha kueneza mila na desturi za waarabu. Ndiyo maana wanaita uislama ni total way of living which is a typical definition of the term culture. Mnachofundishwa misikitini ni total way of living of arabs, na siyo dini. Tukiwa tunajaribu kuwafumbua macho muwe mnaelewa enyi waarabu wa matogoro na kimanzichana.
 
Wewe

Wewe dogo unaupenda sana ushoga huko madrrasa kwenye alif be te se walishagakumindua nini akina mallim
Si umeshapata taarifa kuwa Pope Francis kawaruhusu watu mnao oana jinsia moja mkabarikiwe kanisani au padri hajawafikishia waumini taarifa?
 
Kituko! Iran inajinadi kwamba inawapigania waislam wa palestina huku inawafukuza waislam wa Afghanistan. Aisee..
Hao Waafgan wakimbizi ni mashushu wa America na Israel. kumbuka hao ndo waliokuwa wakineemeka na Utalawa bandia wa Afgan ulisimikwa na Marekani baada kuondolewa kwa Mula Omar.
 
Hawataki yawakute kama yaliyowakuta Lebanon,,,kusaidia wapalestina baadae wanataka kushikilia hadi nchi na hezbollah yao
 

Dini ni hiyo aliyokufundishsa Nabii wako Tito au vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…