Inasikitisha Iran kuwafukuza raia milioni 2 wa Afghanistan waliokimbia utawala wa Taliban

Inasikitisha Iran kuwafukuza raia milioni 2 wa Afghanistan waliokimbia utawala wa Taliban

Hao waarabu mila zao haswa zinapingana na uislam.
Unajua mila haswa za waarabu!?
Tuanze kuzijadili na tuzifanananishe na uislam kama zinafanana!?

huwezi kutenganisha uislam na uarabu.
Hata lugha inayowaunganisha waja na mungu wao ni kiarabu. Hata majina ambayo mungu wao anawaita ni ya kiarabu. Ukija mavazi ambayo mungu wao anayoyaona ni ya stara ni ya kiarabu. Hapo hujagusa usanifu majengo, vyakula nk. Sasa napata shida kutenganisha hivi vitu viwili.
 
Kiarabu kuwa lugha ya kuwaunganisha waislam haimaanishi kuwa uislam ni uarabu.
Halafu katika uislam vazi lolote lile la kusitiri mwili ndio vazi sahihi.
Pia kama kuhusu majina unaweza kujiita jina lolote lile.
Sheriin Abu Akleh mwandishi habari wa Al-Jazeera English aliyeuawa na IDF 2021 yule ni mkristo Anglican.
Je kuna jina la kizungu katika majina yake!?
Katika uislam jina ni jina tu.

Kama kuhusu vyakula kwani wazungu mchele hawali?
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌Ndugu unataka kusema kuwa kuna vyakula vya uislam pia!?
*Waarabu wana tabia ya mfumo dume na kuwaona wanawake watumwa,UISLAM UNAKATAA HILO.
*Waarabu wana ustaarabu mbovu wa chakula ila uislam una ustaarabu tofauti wa kula chakula.Kama umewahi kula na mwarabu utanielewa mkuu.
*Waarabu wana mila zingine za kitamaduni ambazo ni aibu nyingi tu ambazo uislam unazipinga kaka.
 
Kosugi nashukuru kwa maelezo yanayopatanishwa na akili yangu. Inawezekana waarabu ni waasi wa uislam kama vile mayahudi yalivyomuasi Kristo na ukristo.

Kuunganisha Waumini kwa lugha fulani nalo ni lankuliangalia. Maana waamini wa imani moja inafaa waungaishwe na sheria moja au kitabu kimoja bila kujali lugha.
 
Usemalo ni sahihi kaka.
Uislam unamuomba Mungu kwa lugha yeyote ila kitabu cha muongozo/Qur'an na namna za ibada ni kwa lugha moja ili kuleta unification na upekee.
 
Usemalo ni sahihi kaka.
Uislam unamuomba Mungu kwa lugha yeyote ila kitabu cha muongozo/Qur'an na namna za ibada ni kwa lugha moja ili kuleta unification na upekee.

Nimekuelewa. Ila binafsi hapo ndiyo kuna hoja inayonifanya nishindwe kutenganisha uislam na mila na desturi za kiarabu. Ila nieleweke kwamba haya ni maoni yangu kwa uhuru wangu uliopo. Nashukuru kwamba unayaheshimu, licha ya kuwa hukubaliani nami.
 
Boss nishakutajia Amount ilioenda kule, ni dola milioni 20 na kitu tu nipigie hesabu inahudumia vipi hao wakimbizi?

Hii article ya UN wenyewe

Kiasi kilichotakiwa kiende ni 114M na kilichoenda ni asilimia 23 tu.

Pia for the sake of discussing assume UN wamelipa hela yote hio dola milioni 114 fanya hesabu rahisi

114M gawanya kwa 3.5M unapata hapo unapata 32 dollar.

So mkuu nipigie hesabu kumhudumia mkimbizi mwaka mzima kwa dola 32 unawezaje? Hio ni sawa na hela za madafu kama sh 200 kwa siku hata chapati hupati unamhudumiaje?

Iran inasomesha watoto wakimbizi 800,000 shule za Iran wanakaa na watoto wa Iran wanachanganyika, sio gharama za Kitoto mkuu.
Hutoelewa, lile huwa ni jukumu la UN nchi ikitoa hulipwa, na deni siyo lazima lilipwe kwa,100%, UN inapata misaada na inafana alocation kwa kuangalia uhitaji uko wapi.
UN hazai wakimbizi, na haina uzalishaji, inategemea michango ya wanachama, na misaada.
Jukumu la kutoa huduma za wakimbizi ni lao.
Tanzania kila mwaka tunalalamika UN hawaleti pesa kwa wakati, lakini mgao tunapata, na misaada mingine inayolenga kuhudumia wakimbizi tunapata. Na nchi za ulaya na america pia huchukua share za wakimbizi kila,wanapoweza kufanya hivyo, ni uungwana tu siyo jukumu lao.
Kuna wakimbizi Dubai, na wanauwezo, lakini lazima watambulike kama ni wakimbizi, hata kama wanajihudumia.
 
Toka vita vianze vya Afghanistan ni Iran na Pakistan ndio wanahifadhi wakimbizi wengi kuliko yoyote so hoja yako ya Transit haina mashiko. Wakati walioanzisha vita wanachukua elfu kadhaa hao kina Iran na Pakistan wana mamiliono ya Wakimbizi.

Pia no Amount of hela inaweza kusolve hilo tatizo, Tanzania tuna wakimbizi kama laki 2 tu na bado unasikia matatizo hapa na pale, tunaongelea wakimbizi in millions hapa, hao 3.5M ni official figure za UN ila wapo kibao ambao hawana permit inakadiriwa wanaweza fika milioni 6.

Kiasi alichopokea kama mwaka jana ni kama $26M hela ya karanga hii nipigie budget yake inalisha vipi watu milioni 3.5 kwa mwaka iwapeleke hospitali na mambo mengine.
We huelewi dhana nzima kuhusu ukimbizi.
Vita vya Kongo, Rwanda na Burundi sisi Tanzania tulikuwa na idadi kubwa ya wakimbizi, unadhani tulikuwa tinawahudumia sisi?
Mchango wetu upo, lakini ukimbizi ni jukumu la UN na tuna pata pesa na misaada kutoka UN moja kwa moja na nchi xingine, na mashirika mengime ya kiserikali na binafsi.
UMESHINDA.
 
Hutoelewa, lile huwa ni jukumu la UN nchi ikitoa hulipwa, na deni siyo lazima lilipwe kwa,100%, UN inapata misaada na inafana alocation kwa kuangalia uhitaji uko wapi.
UN hazai wakimbizi, na haina uzalishaji, inategemea michango ya wanachama, na misaada.
Jukumu la kutoa huduma za wakimbizi ni lao.
Tanzania kila mwaka tunalalamika UN hawaleti pesa kwa wakati, lakini mgao tunapata, na misaada mingine inayolenga kuhudumia wakimbizi tunapata. Na nchi za ulaya na america pia huchukua share za wakimbizi kila,wanapoweza kufanya hivyo, ni uungwana tu siyo jukumu lao.
Kuna wakimbizi Dubai, na wanauwezo, lakini lazima watambulike kama ni wakimbizi, hata kama wanajihudumia.
Boss unaongea na watu wazima humu, kama nilivyokuekea data hapo Toka UN na wewe thibitisha kwamba hao wakimbizi wanahudiwa na UN tofauti na kiasi kilichoidhinishwa kwenye website ya UN.
 
Boss unaongea na watu wazima humu, kama nilivyokuekea data hapo Toka UN na wewe thibitisha kwamba hao wakimbizi wanahudiwa na UN tofauti na kiasi kilichoidhinishwa kwenye website ya UN.
Sijui huelewi nini au wapi, wakimbizi sio jukumu la nchi wanakokimbilia, bila kujali utajiri au umadikini wa nchi walikokimbilia. Wakimbizi ni jukumu la UN.
Hata kama taifa waliko wakimbizi halina pesa, lazima watapata huduma zote za msingi.
 
Ushahidi upo wapi mkuu? Wenyewe UN wanasema walitakiwa wapeleke 114M na iliopelekwa ni 23% tu, hata wakipeleka yote hio 114M ni shilingi 200 tu ya kitanzania kila mkimbizi.

Wenyewe Iran wanasema Hao wa Afghanistan wanawahudumia wao, wanasema shule za Iran, wanatibiwa Hospital za Iran etc.

Ushahidi wako wewe upo wapi? Ama unataka tu tuamini maneno yako na maneno ya UN na Iran hayana maana?
 
Back
Top Bottom