eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Jadi ipi ya Paulo? Inakuwaje unaongozwa na Nabii Tito?
jadi ya kabila langu la kibantu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jadi ipi ya Paulo? Inakuwaje unaongozwa na Nabii Tito?
Hatuna la kujadili mimi na wewe,,jielimishe hlf uje kwenye meza ya majadiliano
Nilitaka kukudharau lkn huenda nikufanyie subira kidogo kabla sijakudharau moja kwa mojasawa, naheshimu maoni yako.. lakini cha kujua ni kuwa uislam ni mpango wa waarabu (pamoja na ujinga wao, hilo wamefanikiwa), kueneza mila na desturi zao kwa watu ambao hawajielewi.
lingine nenda kajielimishe kuhusu uislam ukiwa na open mind ili ufikiri nje ya box. usimeze kama dodoki
Kwamba kiingereza ndiyo huelewi?Wadau hamjamboni nyote?
Huwezi amini lakini huo ndiyo ukweli
Yaani kwa ndugu wavunja undugu kwa ndugu mmoja mwenye neema kumtimua nduguye mwenye shida
Serikali ya Kiislamu ya Jamhuri ya Iran imeamua kuwatimua bila huruma Ndugu zao raia wa nchi inayofuata sheria za Kiislamu ya Afghanistan wapatao million mbili na nusu waliokuwa wakiishi Iran
Mwaka jana usisahau waafghanistan millioni moja na nusu walitimuliwa huku miongoni mwao elfu ishirini wakiwa Watoto
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Iran plans mass deportation of 2 million Afghan migrants
Oct 7, 2024,
Iran has intensified its deportation efforts, aiming to expel at least two million undocumented migrants by the end of March 2025, according to Ahmad Reza Radan, commander of Iran’s law enforcement forces.
"Our goal this year is to return and deport at least two million illegal foreign nationals to their countries," Radan said Saturday in an interview with IRNA, the official government news website.
Although Radan did not explicitly mention any nationality, the term “foreign national” is widely used by Iranian officials and media to describe Afghan nationals, who constitute the overwhelming portion of the migrant population in Iran.
United Nations refugee agency UNHCR estimates that nearly 4.5 million Afghan nationals currently live in Iran. However, recent estimates mentioned in the Iranian media say the population has swelled to nearly 10 million Afghans - or more than 10 percent of the country's population.
Over 500,000 people have already been arrested and deported, and more than 250,000 have voluntarily turned themselves in, bringing the total of those deported to 750,000 according to Radan.
There has always been a steady influx of Afghans into Iran, with the migrant population estimated at around 2.5 million over the past decade. However, after the Taliban's takeover of Afghanistan, the numbers surged, with millions crossing the border.
Many Iranians blame the Islamic government for not sealing the border, suspecting it of harboring intentions to use Afghans as foot soldiers—both to control the disgruntled domestic population and as fighters in Middle East conflicts.
In August, Mohammad Rashidi, a member of parliament's presidium, introduced a bill to amend the laws governing the entry and residence of foreign nationals in Iran, with the goal of reducing the foreign national population by 10 percent annually.
1.3 million Afghans were deported from Iran last year with more than 20,000 of them being children, and many of them unaccompanied.
Many Afghan nationals who are now at risk of deportation under this plan include women and former government employees who fled fearing persecution. Under the proposed plan, it is becoming increasingly difficult for these groups to secure long-term legal status in Iran, leaving many vulnerable to deportation.
Ni uislamu tu ndiyo mpango wa Waarabu kwa watu wasiojielewa ama hata ukristo ni mpango wa wazungu kwa watu wasiojielewa?sawa, naheshimu maoni yako.. lakini cha kujua ni kuwa uislam ni mpango wa waarabu (pamoja na ujinga wao, hilo wamefanikiwa), kueneza mila na desturi zao kwa watu ambao hawajielewi.
lingine nenda kajielimishe kuhusu uislam ukiwa na open mind ili ufikiri nje ya box. usimeze kama dodoki
Nilitaka kukudharau lkn huenda nikufanyie subira kidogo kabla sijakudharau moja kwa moja
Naomba uniambie Uislamu ni nini?
Halafu nitajie nguzo tano za dini ya uislamu?
Ebu tuanzie hapa kwanza,ukiweza kujibu tutaendelea na mjadala na ukishindwa basi endelea na porojo zako kwa wadau wengine
Ni uislamu tu ndiyo mpango wa Waarabu kwa watu wasiojielewa ama hata ukristo ni mpango wa wazungu kwa watu wasiojielewa?
Huwa sipendi porojo bossTeh teh teh
Hivyo vyote navijua...
Dini zote zina nguzo, na nguzo hizo siyo lazima kila mmoja akubaliane nazo.
Pia kulazimishia waumini wa uislam popote walipo duniani kufuata au kutumia lugha, majina na tamaduni za kiarabu kwa watu wengi, hilo ni doa. inaonekana dini hiyo ni kwa ajili ya watu wa jamii fulani tu, ilhali Mungu ni wa wote.
Toka vita vianze vya Afghanistan ni Iran na Pakistan ndio wanahifadhi wakimbizi wengi kuliko yoyote so hoja yako ya Transit haina mashiko. Wakati walioanzisha vita wanachukua elfu kadhaa hao kina Iran na Pakistan wana mamiliono ya Wakimbizi.hivyo vituo tu kama sisi Tanzania tulivyo kituo cha wakimbizi wa Rwanda,Burundi na DRC. Tuanapata pesa kutoka UN refugee relief za matunzo ya hao wakimbizi, na wao vivyo hivyo.
Na wengi wako on transit kuelekea Ulaya na America. Wanasubiri vetting kujua je ni wakimbizi kweli au magaidi yaliyojichanganya na wakimbizi. Hizo nchi ni vituo vya kupitia tu siyo makazi yao, ndio maana hawana makazi ya kudumu nchi hizo, wanaishi kwenye makambi ya ukimbizi miaka yote.
Huwa sipendi porojo boss
Sijakuuliza nguzo za dini nyingine kwasababu hazina misingi madhubuti,nimekuuliza nguzo za kiislamu
Ungeweza kujibu tungeendelea na mjadala na kuona kwamba uislamu si mila wala tamaduni ya waarabu
Naomba nikuache na porojo zako
Asante
Kumbe kabila lako ni kibantu 😜😜😜😜jadi ya kabila langu la kibantu
Sasa wanakimbia nini?Wadau hamjamboni nyote?
Huwezi amini lakini huo ndiyo ukweli
Yaani kwa ndugu wavunja undugu kwa ndugu mmoja mwenye neema kumtimua nduguye mwenye shida
Serikali ya Kiislamu ya Jamhuri ya Iran imeamua kuwatimua bila huruma Ndugu zao raia wa nchi inayofuata sheria za Kiislamu ya Afghanistan wapatao million mbili na nusu waliokuwa wakiishi Iran
Mwaka jana usisahau waafghanistan millioni moja na nusu walitimuliwa huku miongoni mwao elfu ishirini wakiwa Watoto. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
============
Iran plans mass deportation of 2 million Afghan migrants
Oct 7, 2024,
Iran has intensified its deportation efforts, aiming to expel at least two million undocumented migrants by the end of March 2025, according to Ahmad Reza Radan, commander of Iran’s law enforcement forces.
"Our goal this year is to return and deport at least two million illegal foreign nationals to their countries," Radan said Saturday in an interview with IRNA, the official government news website.
Although Radan did not explicitly mention any nationality, the term “foreign national” is widely used by Iranian officials and media to describe Afghan nationals, who constitute the overwhelming portion of the migrant population in Iran.
United Nations refugee agency UNHCR estimates that nearly 4.5 million Afghan nationals currently live in Iran. However, recent estimates mentioned in the Iranian media say the population has swelled to nearly 10 million Afghans - or more than 10 percent of the country's population.
Over 500,000 people have already been arrested and deported, and more than 250,000 have voluntarily turned themselves in, bringing the total of those deported to 750,000 according to Radan.
There has always been a steady influx of Afghans into Iran, with the migrant population estimated at around 2.5 million over the past decade. However, after the Taliban's takeover of Afghanistan, the numbers surged, with millions crossing the border.
Many Iranians blame the Islamic government for not sealing the border, suspecting it of harboring intentions to use Afghans as foot soldiers—both to control the disgruntled domestic population and as fighters in Middle East conflicts.
In August, Mohammad Rashidi, a member of parliament's presidium, introduced a bill to amend the laws governing the entry and residence of foreign nationals in Iran, with the goal of reducing the foreign national population by 10 percent annually.
1.3 million Afghans were deported from Iran last year with more than 20,000 of them being children, and many of them unaccompanied.
Many Afghan nationals who are now at risk of deportation under this plan include women and former government employees who fled fearing persecution. Under the proposed plan, it is becoming increasingly difficult for these groups to secure long-term legal status in Iran, leaving many vulnerable to deportation.
Pope alikufanyaje ?Kwahiyo unataka dunia itawaliwe na wazee wa upinde kina pope Francis ili uwe shoga?
Huelewi sheria za ukimbizi wewe. Mkimbizi hata akiishi hotelini kwa pesa yake, bado ni mkimbizi. Kuwa wengi haiondoi status yao, wakimbizi wanatambuliwa na UN na gharama zinalipwa na UN refugee relief, hata taifa likitumia pesa zake kusaidia zitalipwa na UN hata ikiwa baada ya miaka 100. Pia kuna mashirika mengi husaidia kugharamia huduma mbali mbali, bila kujali utajiri au umasikini wa mpokeaji wakimbizi.Toka vita vianze vya Afghanistan ni Iran na Pakistan ndio wanahifadhi wakimbizi wengi kuliko yoyote so hoja yako ya Transit haina mashiko. Wakati walioanzisha vita wanachukua elfu kadhaa hao kina Iran na Pakistan wana mamiliono ya Wakimbizi.
Pia no Amount of hela inaweza kusolve hilo tatizo, Tanzania tuna wakimbizi kama laki 2 tu na bado unasikia matatizo hapa na pale, tunaongelea wakimbizi in millions hapa, hao 3.5M ni official figure za UN ila wapo kibao ambao hawana permit inakadiriwa wanaweza fika milioni 6.
Kiasi alichopokea kama mwaka jana ni kama $26M hela ya karanga hii nipigie budget yake inalisha vipi watu milioni 3.5 kwa mwaka iwapeleke hospitali na mambo mengine.
Boss nishakutajia Amount ilioenda kule, ni dola milioni 20 na kitu tu nipigie hesabu inahudumia vipi hao wakimbizi?Huelewi sheria za ukimbizi wewe. Mkimbizi hata akiishi hotelini kwa pesa yake, bado ni mkimbizi. Kuwa wengi haiondoi status yao, wakimbizi wanatambuliwa na UN na gharama zinalipwa na UN refugee relief, hata taifa likitumia pesa zake kusaidia zitalipwa na UN hata ikiwa baada ya miaka 100. Pia kuna mashirika mengi husaidia kugharamia huduma mbali mbali, bila kujali utajiri au umasikini wa mpokeaji wakimbizi.
Tanzania tunaweza kupokea population ya Rwanda, Burundi, DRC, Somalia, Ethiopia na kokote, lakini mashirika ya UN ndiyo hutoa usajiri na utambulisho wa wakimbizi, kisha kuanza kufanya logistic yote ya kuwahudumia. Na kufanya vetting za kuwahamisha kuwapeleka mataifa yenye uwezo kama ulaya, na America.
Huko Iran ni vituo tu, nchi husika hulipwa kuhudumia.
Nenda Ngara na Kibondo kajifunze.
Kwani wewe unampenda Mama Samia?Waislamu wenyewe kwa wenyewe hawapendani wao wanachojua ni kuwachukia wayahudi, wakristo na wahindi, ndiyo maana waarabu wakimbizi hawakimbilii nchi tajiri za waarabu wenzao eg Saudi Arabia, Qatar, Quwait au UAE wanakimbilia nchi za wanaoiwaita Makafiri!!
Waswahili bana mnachekesha!Wadau hamjamboni nyote?
Huwezi amini lakini huo ndiyo ukweli
Yaani kwa ndugu wavunja undugu kwa ndugu mmoja mwenye neema kumtimua nduguye mwenye shida
Serikali ya Kiislamu ya Jamhuri ya Iran imeamua kuwatimua bila huruma Ndugu zao raia wa nchi inayofuata sheria za Kiislamu ya Afghanistan wapatao million mbili na nusu waliokuwa wakiishi Iran
Mwaka jana usisahau waafghanistan millioni moja na nusu walitimuliwa huku miongoni mwao elfu ishirini wakiwa Watoto. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
============
Iran plans mass deportation of 2 million Afghan migrants
Oct 7, 2024,
Iran has intensified its deportation efforts, aiming to expel at least two million undocumented migrants by the end of March 2025, according to Ahmad Reza Radan, commander of Iran’s law enforcement forces.
"Our goal this year is to return and deport at least two million illegal foreign nationals to their countries," Radan said Saturday in an interview with IRNA, the official government news website.
Although Radan did not explicitly mention any nationality, the term “foreign national” is widely used by Iranian officials and media to describe Afghan nationals, who constitute the overwhelming portion of the migrant population in Iran.
United Nations refugee agency UNHCR estimates that nearly 4.5 million Afghan nationals currently live in Iran. However, recent estimates mentioned in the Iranian media say the population has swelled to nearly 10 million Afghans - or more than 10 percent of the country's population.
Over 500,000 people have already been arrested and deported, and more than 250,000 have voluntarily turned themselves in, bringing the total of those deported to 750,000 according to Radan.
There has always been a steady influx of Afghans into Iran, with the migrant population estimated at around 2.5 million over the past decade. However, after the Taliban's takeover of Afghanistan, the numbers surged, with millions crossing the border.
Many Iranians blame the Islamic government for not sealing the border, suspecting it of harboring intentions to use Afghans as foot soldiers—both to control the disgruntled domestic population and as fighters in Middle East conflicts.
In August, Mohammad Rashidi, a member of parliament's presidium, introduced a bill to amend the laws governing the entry and residence of foreign nationals in Iran, with the goal of reducing the foreign national population by 10 percent annually.
1.3 million Afghans were deported from Iran last year with more than 20,000 of them being children, and many of them unaccompanied.
Many Afghan nationals who are now at risk of deportation under this plan include women and former government employees who fled fearing persecution. Under the proposed plan, it is becoming increasingly difficult for these groups to secure long-term legal status in Iran, leaving many vulnerable to deportation.
Hao waarabu mila zao haswa zinapingana na uislam.sawa, naheshimu maoni yako.. lakini cha kujua ni kuwa uislam ni mpango wa waarabu (pamoja na ujinga wao, hilo wamefanikiwa), kueneza mila na desturi zao kwa watu ambao hawajielewi.