Inasikitisha Iran kuwafukuza raia milioni 2 wa Afghanistan waliokimbia utawala wa Taliban

Inasikitisha Iran kuwafukuza raia milioni 2 wa Afghanistan waliokimbia utawala wa Taliban

Nani kakwambia kutokujua kusoma kwa ufahamu ni kitu kidogo.?
Au ndio Hosea 4:11
Uzinzi na divai na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu.

Lakini wazo langu ni hili, "sitakuja kuuona uislam kuwa ni dini mpaka pale ambapo utajitenga na lugha ya kiarabu, waarabu na ulimwengu wa kiarabu"
 
Imagine hii dunia ingetawaliwa na wavaa kobazi, ingekuwa si salama wangetuua..mmae
Mimi mwenyewe mvaa kobazi kwa hili nakiri. Jamii za watu wa Asia kitu kinaitwa humility HAWANA. Ukweli mchungu.
 
Ndipo alipokuambia Yesu hapo kuwa yeye ndiye njia ? Ugalatia ni kazi
Si wewe najua Shetani hataki kabisa uijue kweli. Ni majini/mapepo ambayo hayataki uelewe

Yohana 14:6
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
 
Waislamu wahanga wa vita hukimbilia nchi za ulaya, na amerika. Ukikimbilia kwa taifa la kiarabu wanaweza kukuua.
Iran na Uturuki ndio mataifa yenye wakimbizi wengi duniani, chukua wakimbizi wote Ulaya Nzima hawafikii hizo nchi mbili.

Nani alianzisha vita ya Afghanistan kama sio Nchi za ulaya na Marekani? Ingekua mimi ndio Ayatollah siwarudishi Afghanistan. Nawakodia Meli kubwa kabisa naenda kuwamwaga karibu na fukwe Za Ulaya na Marekani.

Hizi data za Umoja wa Mataifa
Screenshot_20241010-153249_Pixel Launcher.png

Si Iran so Uturuki wala si Pakistan waliopiga Afghanistan na Iraq ila wao ndio wanapata shida Kulea effect za hizo vita, halafu waliosababisha wakienda watu wachache tu wanalalamika dunia nzima, ikiwemo wewe huku unaewatetea wakati kosa ni lao.
 
Si wewe najua Shetani hataki kabisa uijue kweli. Ni majini/mapepo ambayo hayataki uelewe

Yohana 14:6
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Hayo ni maneno ya Yesu? Una akili wewe? Yaani nikikuambia Yesu Aliniambia alitafuta mke Afrika, Hayo yatakuwa maneno ya Yesu?
 
Hayo ni maneno ya Yesu? Una akili wewe? Yaani nikiäkuambia Yesu Aliniambia alitafuta mke Afrika, Hayo yatakuwa maneno ya Yesu?
Umepaniki tayari. Ukiombewa yakatoka mapepo uje tujadili. Ukiwa sober.
 
Umepaniki tayari. Ukiombewa yakatoka mapepo uje tujadili. Ukiwa sober.
Aliyepagawa ni wewe unayeleta maneno ya watu wasiojulikana wanaompakazia Bwana Yesu

Tuletee maneno ya Yesu mwenyewe Kama ulivyodai kuwa alisema kuwa yeye ni njia , usituletee maneno ya watu wasiojulikana
 
Hao nao walijichanganya wapi? Wajanja wanakimbilia jamuhuri za Wagalatia. Kule wanapokelewa watu wa kila aina hadi wahamiaji haramu.
Halafu mwisho wa siku hao hao wanaowapokea ndo wanaonekana wabaya na makafiri.
 
Back
Top Bottom