Iran na Uturuki ndio mataifa yenye wakimbizi wengi duniani, chukua wakimbizi wote Ulaya Nzima hawafikii hizo nchi mbili.
Nani alianzisha vita ya Afghanistan kama sio Nchi za ulaya na Marekani? Ingekua mimi ndio Ayatollah siwarudishi Afghanistan. Nawakodia Meli kubwa kabisa naenda kuwamwaga karibu na fukwe Za Ulaya na Marekani.
Hizi data za Umoja wa Mataifa
View attachment 3121021
Si Iran so Uturuki wala si Pakistan waliopiga Afghanistan na Iraq ila wao ndio wanapata shida Kulea effect za hizo vita, halafu waliosababisha wakienda watu wachache tu wanalalamika dunia nzima, ikiwemo wewe huku unaewatetea wakati kosa ni lao.