Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
NdioMmmh hatari kazi ipo
nileo umepitapo?
Na bei ya kiwanja hapo kwasasa unapata kiwanja cha 20 kwa 20Kaburi likiwa limevunjwa na linaendelea kusambaratishwa. View attachment 1937397
Kweli aiseeBuji makaburi ya hapo hayamalizi miaka kumi hasa yale ambayo ndugu zao hawayatembelei mara kwa mara... Linapandiwa dau watu wanaenda kujenga
mbona kama hizo picha zinaonyesha ni kuchoka kwa kutoangaliwa mda mrefu?
Huoni hili limemegwa na cutting disk?mbona kama hizo picha zinaonyesha ni kuchoka kwa kutoangaliwa mda mrefu?
mbona kama hizo picha zinaonyesha ni kuchoka kwa kutoangaliwa mda mrefu?
Mzee picha umepiga leo hiziHuoni hili limemegwa na cutting disk?
YesMzee picha umepiga leo hizi
Ova
Ili watambike na wasiwapoteze ndugu zaoHivi kwanini watu huwa wanajengea makaburi ?
💰💱💵💶💶💷Hivi ukitaka kuzika kinondoni nini kinahitajika zaidi
Kaburi lako litatunzwa na kuheshimiwa mileleMimi ninaomba nizikwe kwetu Mtae