INASIKITISHA: Makaburi Kinondoni yanavunjwa makusudi ili ipatikane nafasi ya kuzikia

Watu sema hawasomi Historia hii tabia ya kujengea makaburi imekuja kupelekea watu wanayaabudia makaburi.

Kiasili ni kuweka alama na ikipita miaka mingi sehemu hiyo waje wazikwe na wengine.

Huku kwetu kujengea makaburi ni HARAMU na kufanya hivyo unapata madhambi.
Hakuna mtu anaeabudu kaburi, sema kuna watu wanao yatukuza makaburi!
 
Watu sema hawasomi Historia hii tabia ya kujengea makaburi imekuja kupelekea watu wanayaabudia makaburi.

Kiasili ni kuweka alama na ikipita miaka mingi sehemu hiyo waje wazikwe na wengine.

Huku kwetu kujengea makaburi ni HARAMU na kufanya hivyo unapata madhambi.
Huko kwenu wapi, kujengea makaburi ni HARAMU' Afghanistan?
 
Sioni logic ya kuzikwa kwenye makaburi ya umma. Kwetu Unyanyembe, makaburi yanaheshimiwa sana tofauti kabisa na huko kwenu Dar es Salaam ambalo makaburi ni gesti wakati wa usiku na wakati wa mchana ni makazi ya mateja na wavuta bangi kulipuloza dude lao
Huku sifa za mjini kuzikwa Kinondoni kiwanja cha kaburi milion kumi
 
Watu sema hawasomi Historia hii tabia ya kujengea makaburi imekuja kupelekea watu wanayaabudia makaburi.

Kiasili ni kuweka alama na ikipita miaka mingi sehemu hiyo waje wazikwe na wengine.

Huku kwetu kujengea makaburi ni HARAMU na kufanya hivyo unapata madhambi.
Ni kweli mkuu ni uharibifu wa mazingira na kuwababisha matambiko
 
serikali ipige marufuku watu kujengea makaburi na kupiga plasta na tiles kwenye makaburi ya uma,mtu akitaka hayo akazike kwake,watu wanakufa kila wakati lakini maeneo ya makaburi hayaongezeki.
Popote tu ni uharibifu wa pesa na madhara yake ni makubwa mno.
 
Kwanza makaburi yapo mengi si wakazike sehemu nyingine
 
Serikali ilishafunga makaburi ya kinondoni kwa sababu kumejaa na kuhamishia ununio kwa kondo. Kinachofanyika ni uhuni, ukienda na pesa yako ndefu wanakuuzia unapata sehemu ya kuzika
 
Back
Top Bottom