Eneo la kuzika 2 m???Hapo kinachofanyika ni uhuni wa daraja la juu. Tulinunua eneo la kuzikia sh millioni 2, tukaambiwa tulipe laki 3 ya wachimbaji. Aisee kwenye kaburi la ndugu yangu ilifukuliwa mifupa ya mtu aliyezikwa zamani. Tukiwa tunazika, wachimbaji wakaomba waifukie mifupa ya yule marehemu wa Kwanza mle kaburini
Kuchimba kaburi 300k??
Kwa sisi wengine hiyo hela inatosha kila kitu mpaka usafiri na hela kidogo ya kunywa bia pale Mombo.