MAKABURI ya Mbagala hayakuvunjwa, yalichimbuliwa na ndugu na walilipwa na serikali ili kupisha Barabara ya Kilwa Road na mabaki yakaenda kuzikwa tena huko Tuangoma.Hata Ilala na Mbagala makaburi yalivunjwa kupisha upanuzi wa barabara
Hahahaha wau uzanshesha hukunda tabu za mjiniMimi ninaomba nizikwe kwetu Mtae
Asante kwa pichaLakini makaburi ya waislam Kisutu, uhuni kama huo hakuna.View attachment 1938181View attachment 1938183
MAKABURI ya Mbagala hayakuvunjwa, yalichimbuliwa na ndugu na walilipwa na serikali ili kupisha Barabara ya Kilwa Road na mabaki yakaenda kuzikwa tena huko Tuangoma.
Anayekua anauza ni nani mkuu? na hiyo hela inakua inaingia kwa nani?Serikali ilishafunga makaburi ya kinondoni kwa sababu kumejaa na kuhamishia ununio kwa kondo. Kinachofanyika ni uhuni, ukienda na pesa yako ndefu wanakuuzia unapata sehemu ya kuzika
huyo Marehemu alikuwa mtu maarufu sana na alipenda kusaidia watu hasa masikini, alipofariki kama kawaida ya ukoo wa Mobutu walipenda kuzikana na mali kwa mfano kaburi la mama yake Mobutu lilipambwa na dhahabu na hata mke wa Mobutu alizikwa na vito vya thamaniMhm ningependa kufahamu zaidi kuhusu hili tafadhali
Kujahaga ndio nini?makazi ya watu yana jahaga lakini makaburi sijaona kujahaga
Tupe jibu wewe; kutokana na imani yako ya kuabudu na utupe maana ya kuabuduJambo kama huna elimu nalo bora ukae kimya.
Labda tuanzie hapa,nini maana ya kuabudu ?
Huu utoto siufanyi. Nimekuuliza wewe. Nini maana ya kuabudu.Tupe jibu wewe; kutokana na imani yako ya kuabudu na utupe maana ya kuabudu
Umbuje... Hata imi maa uko Maindi.Mimi ninaomba nizikwe kwetu Mtae
Sisi wamasai zamani mtu alikuwa akifa tunampaka mafuta ya kondoo na anapelekwa vichakani huko analiwa na fisi habari yakw inakuwa imeisha (Au mnaishia zetu makazi mapya mnamwacha hapo)Ila sisi binadamu tuna uchuro sana. Kwanini ujengee kaburi? Tena ikiwa ni makaburi ya public?
Kama ni makaburi ya familia sawa jengeeni ila kama unazikwa kwenye cemetery za jumuiya msiwe mnajengea. Kwasababu kiuhalisia ni kuwa ingekuwa makaburi hayafukuliwi na kuzikwa wengine hapo Kinondoni pangeshajaa miaka ya zamani sana.
Wanaojengea makaburi ni wabinafsi tu. Mtu akishakufa amaekufa mzikeni sawa ila msijengee kaburi ili na wengine wakifa wapate pakusitiriwa.
Ifikie mahali pia tuwe na tamaduni za kufanya cremation (kuchoma miili baada ya taratibu za msiba). Hii itapunguza uhitaji wa ardhi ya kuzikia watu.
Sisi wamasai zamani mtu alikuwa akifa tunampaka mafuta ya kondoo na anapelekwa vichakani huko analiwa na fisi habari yakw inakuwa imeisha.
Asante sana[emoji1545][emoji1545]nasubiri pichahuyo Marehemu alikuwa mtu maarufu sana na alipenda kusaidia watu hasa masikini, alipofariki kama kawaida ya ukoo wa Mobutu walipenda kuzikana na mali kwa mfano kaburi la mama yake Mobutu lilipambwa na dhahabu na hata mke wa Mobutu alizikwa na vito vya thamani
hivo basi huyu Maboti alipofariki nae alizikwa na ma cheni na pete za dhahabu na makaburi yalilindwa,mwaka 1997 Mobutu alipokimbia waasi walifika kwenye makabuli ya ndugu zake na kuanza kuiba na walifanikiwa kweli kwenye makabuli yote kuwatoa marehemu ila kaburi la Maboti ndio hivo ikashindikana maana risasi ya kwanza tu kufyatuliwa kwenda kwenye kaburi ilirudi,mpaka leo hakuna aliyegusa hilo kaburi.nitaweka picha badae
Kifupi jiji la dar Lina eneo kubwa zuri sana la makaburi liko kunduchi linaitwa kwa kondo nendeni kuzika hukoSio kinondoni tu makaburi mengi hufanya hivyo..jiulize makuburi ya kisutu mbona kila siku wanazika watu na ukiangalia kasehemu kadogo.. makaburi huitaj ukarabati sasa wengi wakishizika harud rudi tena kwahiyo wazikaji wanatoa mifupa wanamwuZia mwengine maisha yanaendelea,ndo mana wachaga tunazika moshi kuepuka hii kadhia
Mimi mda wakumjibu mjinga na kujibu ujinga sina, mjinga nampa nafasi ya kujijibu ujinga wake.Huu utoto siufanyi. Nimekuuliza wewe. Nini maana ya kuabudu.