huyo Marehemu alikuwa mtu maarufu sana na alipenda kusaidia watu hasa masikini, alipofariki kama kawaida ya ukoo wa Mobutu walipenda kuzikana na mali kwa mfano kaburi la mama yake Mobutu lilipambwa na dhahabu na hata mke wa Mobutu alizikwa na vito vya thamani
hivo basi huyu Maboti alipofariki nae alizikwa na ma cheni na pete za dhahabu na makaburi yalilindwa,mwaka 1997 Mobutu alipokimbia waasi walifika kwenye makabuli ya ndugu zake na kuanza kuiba na walifanikiwa kweli kwenye makabuli yote kuwatoa marehemu ila kaburi la Maboti ndio hivo ikashindikana maana risasi ya kwanza tu kufyatuliwa kwenda kwenye kaburi ilirudi,mpaka leo hakuna aliyegusa hilo kaburi.nitaweka picha badae