Inasikitisha, mchezaji wa zamani wa Mamelodi apata matatizo ya akili

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Mamelodi Sundowns Khayelihle Shozi kwa sasa anapitia tatizo la ugonjwa wa akili.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alipitia Katika timu za vijana ya Mamelod Sundowns na kupandishwa hadi timu ya wakubwa, Khayelihle alipotea kwa mara ya kwanza mwishoni mwa Oktoba 2021, na kutoweka bila kujulikana, alipokuwa akicheza na JDR Stars katika ligi daraja la pili Afrika Kusini.

Mnamo Januari 2022, alipatikana barabarani, akichimba kwenye mapipa ya takataka, na akiishi chini ya daraja
1C0A87A4-95EC-4501-8557-AE8739E852F5.jpeg
BD4AE11B-6A71-4B05-9447-2DBFECDBDDAE.jpeg
 
Hali kama hiyo iliwahi kumkuta mshambuliaji hatari kabisa wa SC Villa na Uganda, Andrew 'Fimbo' Mukasa, mchezaji aliyeacha rekodi za ajabu uwanjani kwa kupachika mabao 45 katika msimu mmoja na anayesababisha Waganda washindwe kuelewa ni nani mchezaji bora wa muda wote nchini humo kati ya yeye, Majid Musis, Paul Hasule na David Obua
 
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Mamelodi Sundowns Khayelihle Shozi kwa sasa anapitia tatizo la ugonjwa wa akili.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alipitia Katika timu za vijana ya Mamelod Sundowns na kupandishwa hadi timu ya wakubwa, Khayelihle alipotea kwa mara ya kwanza mwishoni mwa Oktoba 2021, na kutoweka bila kujulikana, alipokuwa akicheza na JDR Stars katika ligi daraja la pili Afrika Kusini.

Mnamo Januari 2022, alipatikana barabarani, akichimba kwenye mapipa ya takataka, na akiishi chini ya daraja
View attachment 2552841View attachment 2552842
Hili suala lingemkuta Jonas Mkude basi wabongo tungesema mibange yake anayovuta
 
Back
Top Bottom