Inasikitisha, mchezaji wa zamani wa Mamelodi apata matatizo ya akili

Inasikitisha, mchezaji wa zamani wa Mamelodi apata matatizo ya akili

Nilisoma taarufa yake sehemu, iliniumiza sana. Maana hata pake watu wake wa karibu walipomchukua na kumpeleka hospitali ya wagonjwa wa akili, bado aliweza kutoroka na kurudi mtaani kuishi kama mwendawazimu.
 
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Mamelodi Sundowns Khayelihle Shozi kwa sasa anapitia tatizo la ugonjwa wa akili.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alipitia Katika timu za vijana ya Mamelod Sundowns na kupandishwa hadi timu ya wakubwa,


Khayelihle alipotea kwa mara ya kwanza mwishoni mwa Oktoba 2021, na kutoweka bila kujulikana, alipokuwa akicheza na JDR Stars katika ligi daraja la pili Afrika Kusini.

Mnamo Januari 2022, alipatikana barabarani, akichimba kwenye mapipa ya takataka, na akiishi chini ya daraja
Credit: #Kipe Twitter]
20230317_040241.jpg
20230317_040302.jpg
 

Attachments

  • 20230317_040241.jpg
    20230317_040241.jpg
    69.7 KB · Views: 7
Back
Top Bottom