Inasikitisha, mpaka Sasa Simba hawajui watatumia uwanja gani?

Inasikitisha, mpaka Sasa Simba hawajui watatumia uwanja gani?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
KWAKO CEO WA SIMBA IMAN KAJULA, Serikali kupitia Wizara ilitangaza kuvifungia viwanja vyake viwili kupisha matengenezo mnamo DESEMBA 22, 2023 na mpaka sasa yapata mwezi na siku kadhaa, ila hadi leo timu haijui itacheza wapi kifupi mpaka leo Simba haina kituo cha mechi, hii ina maana gani? Ni sahihi kuhoji utayari na uharaka wa kimaamuzi kwa ajili ya hii taasisi kubwa nchini?

Wapo Mashabiki wanasafiri na timu kila mahali, waandae nauli ya wapi?
[@jr_farhanjr ]
#FutbalPlanetUpdates

Ushauri: Simba nendeni tukuyu Kuna uwanja wa chuo Cha ualimu msasani...hata taifa stars ilikuwa Ina weka Kambi huko.

1706344936571.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
MKo chamazi hakuna pengine zaidi ya hapo Simba hawawezi peleka mechi Zanzibar ili uwanja ujae lazima mechi iwe bure
 
Watani kamati za ufundi za mahasimu zimewalia timing nini,,,,, maana kila kiwanja bara mnakiona cha moto
 
Tangu viongozi wa Simba walipo waita wanachama wao wapuuzi Sasa na wao viongozi ndio wanafanya mambo kipuuzi.
Tuwaa chie wa puuzi wajinafasi upuuzini.
 
Kuna msimu Mangungu alikua akihojiwa aliwahi kusema wanaweza amia ligi ya Zanzibar, Sasa kitendo Cha kutaka kuamishia mechi za ligi Zanzibar unaweza kuta ni Cha kweli.
Sasa sielewi sijui huwa hawasomi katiba ya Tff na kanuni zake!!!
Maana viongozi wa Simba shule wameenda Sasa sijui shida inatoka wapi?

Tff nao wakijichanganya tu wakakubali wataleta shida kubwa maana kunatimu zitagoma kwenda Zanzibar na kanuni inawabeba wao kutocheza Zanzibar na apo ndipo timu zitakimbilia mahakamani kusimamisha ligi mpaka zipate ufafanuzi wa kikanuni.
 
Rage alishamaliza Kila kitu[emoji1]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom