Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Hivi ameolewa kwanza?
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe, Rose Mayemba ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kuhusu kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa
Alichoandika
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe, Rose Mayemba ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kuhusu kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa
Alichoandika
Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Siku hii imenijia katika kipindi ambacho Rais kwa kutumia Jeshi la Polisi anapanga kuwaua wakosoaji wake kwa kuwabambikiza kesi ya UHAINI. Sijui nitakufa kifo hiki au kingine, lakini angalau ninajua siku moja nitakufa.TUSIOGOPE!.