Inasikitisha, mrembo wa CHADEMA anasherekea siku ya kuzaliwa huku ana hofu ya kuuliwa na polisi

Inasikitisha, mrembo wa CHADEMA anasherekea siku ya kuzaliwa huku ana hofu ya kuuliwa na polisi

Na kenyewe kanajiita "kamanda"..usikute....😅 Ni mwendo wa kuposti picha tu ...ndo kanaita "harakati"😅😅
Hbr yako Mzee wa DP world!! Piga uaaaa lazima DP tuwape bandari hata kama bila kikomo ili tuwakomoe "MACHADEMA"
 
Na kenyewe kanajiita "kamanda"..usikute....[emoji28] Ni mwendo wa kuposti picha tu ...ndo kanaita "harakati"[emoji28][emoji28]
Ungejua influence ya social media usingeandika hivo! Hata hizo picha unazosema zina impact kubwa

Hivi unajua kwanini wakati wa uchaguzi serikali inazima mitandao?
 
Hivi ameolewa kwanza?

Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe, Rose Mayemba ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kuhusu kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa

Alichoandika

View attachment 2717985Imeandikwa adhabu ya Dhambi ni Mauti licha ya Siyo kwamba wote wanakufa kuwa Wana dhambi. Jitahidi kutotenda dhambi Uishi. Hakuna Dhambi Mbaya kama ya Uhainiukitaka kujua Muulize Shetani alikuwaga anaitwa Rusfael maana ikiwa ni Malaika wa Sifa lakini baada ya kutaka kufanya uhaini aliyupwa Duniani na Sasa yupo Kuzima ambako niMakazi yake ya Kidumu.​
Mrembo Jitahidi kuutumia Ulimi wako Vizuri kama Kushauri na kama Ushauri umeonwa kwa Wakati huo hautekelezeki unaweza enda Kupinga Mahakamani na ikishindikana Shitaki kwa Mungu aliyekuumba nina uhakika Mungu anajibu kwa Wakati.
NB: Rais ameruhusu Mwenye Ushauri wa Kuuboresha Mkataba afuate Taratibu za Kushauri siyo unashauri kwa Kutukana, kudhalilishana, kutishia kutaka Eti ufanya mambo ya hovyo wakati sheria za nchi zipo.
Heshimu Viongozi wako kama unavyowaheshimu Wazazi wako na unavyomtii Mume wako.
 
Back
Top Bottom