Inasikitisha, mrembo wa CHADEMA anasherekea siku ya kuzaliwa huku ana hofu ya kuuliwa na polisi

Na kenyewe kanajiita "kamanda"..usikute....๐Ÿ˜… Ni mwendo wa kuposti picha tu ...ndo kanaita "harakati"๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Hbr yako Mzee wa DP world!! Piga uaaaa lazima DP tuwape bandari hata kama bila kikomo ili tuwakomoe "MACHADEMA"
 
Na kenyewe kanajiita "kamanda"..usikute....[emoji28] Ni mwendo wa kuposti picha tu ...ndo kanaita "harakati"[emoji28][emoji28]
Ungejua influence ya social media usingeandika hivo! Hata hizo picha unazosema zina impact kubwa

Hivi unajua kwanini wakati wa uchaguzi serikali inazima mitandao?
 
shida chadema hamjielewi mnadandiaga tu mada zinazo hit mtaani kichwa kichwa........mengine mitego
Zinazo hiti mitaani si ndo hoja sasa?
Ulitaka wadadie zinazotoka lumumba? Ulilijololo
 
Mrembo Jitahidi kuutumia Ulimi wako Vizuri kama Kushauri na kama Ushauri umeonwa kwa Wakati huo hautekelezeki unaweza enda Kupinga Mahakamani na ikishindikana Shitaki kwa Mungu aliyekuumba nina uhakika Mungu anajibu kwa Wakati.
NB: Rais ameruhusu Mwenye Ushauri wa Kuuboresha Mkataba afuate Taratibu za Kushauri siyo unashauri kwa Kutukana, kudhalilishana, kutishia kutaka Eti ufanya mambo ya hovyo wakati sheria za nchi zipo.
Heshimu Viongozi wako kama unavyowaheshimu Wazazi wako na unavyomtii Mume wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ