INASIKITISHA: Msanii Dullayo awa mlevi kupindukia, atia huruma

INASIKITISHA: Msanii Dullayo awa mlevi kupindukia, atia huruma

Sijawahi kumuona Java na mara nyingi huwa nakuwa hapo lakini inawezekana kuwa nimemuona ila sikumfahamu.
Twende na mimi ilikuwa nyimbo nzuri sana.
Inasikitisha

Anagongea double kick hapa java
Afu majumba sita hadi watoto anawaomba miamia

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom