INASIKITISHA: Msanii Dullayo awa mlevi kupindukia, atia huruma

INASIKITISHA: Msanii Dullayo awa mlevi kupindukia, atia huruma

Maisha ni kuchagua.
Nakumbuka enzi hizo yuko kwa Mj Marko Chali anamgongea ngoma tulibang nazo sana nikiwa high school.
Wote na Joseline walikuwa wanapita mle mle
Watakua washampasulia Yai huyu
 
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya aliyewahi kutamba na vibao vikali mwenye maskani yake Ukonga Majumba Sita amejiingiza katika ulevi wa kupindukia. Wengi wanadai ni stress baada ya kushindwa kwendana na kasi ya muziki. Nisiongee sana ila tizameni video hiyo...

View attachment 2224166
Kwenye video hii sijaona hicho kitu unachokiita"ulevi mbwa"
 
Namjua abdala kasembe almaarufu dulayo a to z tangu mwaka 1998 tulipokua darasa la saba minaz mirefu kinachomfelisha maisha aliyokulia na kampan pia ushamba au ugen wa kushila pesa leo hii huyo dulayo anafanya show ata kwa elfu tano ukimpa bia tatu ukitaka hata akuimbie hata alb nzima anaimba
 
Mlevi akifikia hatua ya lips kua kama za mshkaji next step ni kifo.
 
Back
Top Bottom