INASIKITISHA: Msanii Dullayo awa mlevi kupindukia, atia huruma

Twende maskani kitu cha mnyagi na ngoma dryyyyy Duuulaaaayoooo!!
 
Simjui
 
Maisha ni kuchagua.
Nakumbuka enzi hizo yuko kwa Mj Marko Chali anamgongea ngoma tulibang nazo sana nikiwa high school.
Wote na Joseline walikuwa wanapita mle mle
Watakua washampasulia Yai huyu
 
Kwenye video hii sijaona hicho kitu unachokiita"ulevi mbwa"
 
Namjua abdala kasembe almaarufu dulayo a to z tangu mwaka 1998 tulipokua darasa la saba minaz mirefu kinachomfelisha maisha aliyokulia na kampan pia ushamba au ugen wa kushila pesa leo hii huyo dulayo anafanya show ata kwa elfu tano ukimpa bia tatu ukitaka hata akuimbie hata alb nzima anaimba
 
Mlevi akifikia hatua ya lips kua kama za mshkaji next step ni kifo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…