Kuna siku kaja fire pate kituoni kuna kibanda usiku wanauza pombe. Yuko bwax analeta story za kua yeye ni staa wahuni waka mkataa2020 nilimuona pale La Chaaz kalewa chakari asubuhi Yuko na Malaya anataka akajigongee kwa ustar Malaya kamsusa pale getini kasepa... Josline jamaa chini mwenyewe kalewa chakari. Malaya katoka nduki.
Malaya wa dar hawana adabu.
Bila shaka kuna uwezekano na ngada akawa anatumia .Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya aliyewahi kutamba na vibao vikali mwenye maskani yake Ukonga Majumba Sita amejiingiza katika ulevi wa kupindukia. Wengi wanadai ni stress baada ya kushindwa kwendana na kasi ya muziki. Nisiongee sana ila tizameni video hiyo...
View attachment 2224166
Kujichetua, kuficha aibu.Af wasanii wabongo maisha yakiwapiga wanajifanya akili hazifanyi kazi
Huyo Dullayo ana undugu na Millardayo?
Na hawa wote wanatokea ukoo wa jamaa mmoja kwenye Biblia alikuwa anaitwa Yakobo mwana wa Zebedayo.Ndio Na Kaka Yao Ni John Bocco Adebayo.
😂😂😂😂😂Wote ni wakalidayo
Huko nigeria napo yupo ndugu yao msanii WizkidayoNa hawa wote wanatokea ukoo wa jamaa mmoja kwenye Biblia alikuwa anaitwa Yakobo mwana wa Zebedayo.
Maskini wee, khaaaah.Anagongea double kick hapa java
Afu majumba sita hadi watoto anawaomba miamia
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
hivi vina ni vya kinyama sana daah yani vinafurahisha uzi aisee.Na hawa wote wanatokea ukoo wa jamaa mmoja kwenye Biblia alikuwa anaitwa Yakobo mwana wa Zebedayo.
Daah inasikitisha sana.Namjua abdala kasembe almaarufu dulayo a to z tangu mwaka 1998 tulipokua darasa la saba minaz mirefu kinachomfelisha maisha aliyokulia na kampan pia ushamba au ugen wa kushila pesa leo hii huyo dulayo anafanya show ata kwa elfu tano ukimpa bia tatu ukitaka hata akuimbie hata alb nzima anaimba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]ameshindwa hata kulelewa na lianti Ezekiel aka limama huruma