Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,039
- 2,840
Inasikitisha kuona Serikali inafukuza Watumishi wake waliowakopesha Nyumba Kwa Nguvu Kwa kushindwa kulipa deni lote ndani ya Mikataba wa Miaka 3-7. Imagine ameuziwa Nyumba Semi finished, aifanyie finishing ya zaidi ya Million 50, Hapo analipa deni Kila Mwezi. Bado anajitunza yeye na Family.
Mshahara take home Laki 6 Kwa Mwezi. Huyu Mtu ataishije? Mikataba mingine waliingia bila kujua uzito wa kazi ya Nyumba walizonunua zikiwa "Semi finished" wakikimbia Kodi Uswahilini na adha ya Wenye Nyumba.
Pia soma: Mtumishi wa umma jitahidi ukope kwa awamu zenye muda mfupi mfupi
Watumishi hawa wamejikuta Wana mizigo mikubwa ya KuService deni la Nyumba la kufanyia Nyumba finishing ili iweze kukalika mikataba ukaisha deni bado kulipika. Wamejaribu kujieleza kuomba mikataba mingine TBA imekataa Kwa kupewa Nguvu na Waziri wa Ujenzi wafukuzwe.
Hivi mpaka itokee Aibu ya kufukuza Watumishi Kwa kushindwa kulipa ndani ya Mikataba Kwa nini Serikali isiwasikilize Watumishi hawa? Ni Huzuni Sana kumfanyia Mtumishi au Mstaafu aliepewa mafao ya Kikokotoo unyama huu. Serikali ni Sikivu iwasikilize Wadaiwa wake Kwa kuwa hakuna aliyefanya makusudi kutomaliza Deni.