Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo wewe.Wamejaribu Mahakamani wakasema Serikali haishtakiwi.
Swali la kujiuliza: Je,hao watumishi walilazimishwa?Inasikitisha kuona Serikali inafukuza Watumishi wake waliowakopesha Nyumba Kwa Nguvu Kwa kushindwa kulipa deni lote ndani ya Mikataba wa Miaka 3-7. Imagine ameuziwa Nyumba Semi finished, aifanyie finishing ya zaidi ya Million 50, Hapo analipa deni Kila Mwezi. Bado anajitunza yeye na Family.
Mshahara take home Laki 6 Kwa Mwezi. Huyu Mtu ataishije? Mikataba mingine waliingia bila kujua uzito wa kazi ya Nyumba walizonunua zikiwa "Semi finished" wakikimbia Kodi Uswahilini na adha ya Wenye Nyumba.
Watumishi hawa wamejikuta Wana mizigo mikubwa ya KuService deni la Nyumba la kufanyia Nyumba finishing ili iweze kukalika mikataba ukaisha deni bado kulipika. Wamejaribu kujieleza kuomba mikataba mingine TBA imekataa Kwa kupewa Nguvu na Waziri wa Ujenzi wafukuzwe.
Hivi mpaka itokee Aibu ya kufukuza Watumishi Kwa kushindwa kulipa ndani ya Mikataba Kwa nini Serikali isiwasikilize Watumishi hawa? Ni Huzuni Sana kumfanyia Mtumishi au Mstaafu aliepewa mafao ya Kikokotoo unyama huu. Serikali ni Sikivu iwasikilize Wadaiwa wake Kwa kuwa hakuna aliyefanya makusudi kutomaliza Deni.
Hasa kama akiwa mwalimu,hii kada ktk waliochoka hawa wamechoka haswa.Kama ni Polisi, siwezi kusikitika hata kidogo labda awe mtumishi wa kada tofauti.
Serikali iwaonee huruma. Lakini na wao wanakaujinga fulani hivi.Inasikitisha kuona Serikali inafukuza Watumishi wake waliowakopesha Nyumba Kwa Nguvu Kwa kushindwa kulipa deni lote ndani ya Mikataba wa Miaka 3-7. Imagine ameuziwa Nyumba Semi finished, aifanyie finishing ya zaidi ya Million 50, Hapo analipa deni Kila Mwezi. Bado anajitunza yeye na Family.
Mshahara take home Laki 6 Kwa Mwezi. Huyu Mtu ataishije? Mikataba mingine waliingia bila kujua uzito wa kazi ya Nyumba walizonunua zikiwa "Semi finished" wakikimbia Kodi Uswahilini na adha ya Wenye Nyumba.
Watumishi hawa wamejikuta Wana mizigo mikubwa ya KuService deni la Nyumba la kufanyia Nyumba finishing ili iweze kukalika mikataba ukaisha deni bado kulipika. Wamejaribu kujieleza kuomba mikataba mingine TBA imekataa Kwa kupewa Nguvu na Waziri wa Ujenzi wafukuzwe.
Hivi mpaka itokee Aibu ya kufukuza Watumishi Kwa kushindwa kulipa ndani ya Mikataba Kwa nini Serikali isiwasikilize Watumishi hawa? Ni Huzuni Sana kumfanyia Mtumishi au Mstaafu aliepewa mafao ya Kikokotoo unyama huu. Serikali ni Sikivu iwasikilize Wadaiwa wake Kwa kuwa hakuna aliyefanya makusudi kutomaliza Deni.
Hawa vijana wajinga achana nao.Bila Matusi unaweza Kuchangia hoja. Hakuna asiyetaka kulipa. Ila Mikataba imeisha wakiwa hawajamaliza Deni. Ukae Nyumba usilipe no, tatizo Finishing na Deni na salio la Mshahara halitoshi. Muda ukiongezwa Wanalipa. Hata hivyo zikilipwa haziendi Mfukoni kwako wewe unayedhihaki wenzio.
Mafiii yakeeee...!!! Dogo jingaUna mshahara wa laki sita una kopesha nyumba ya 50M??
Acheni kutuchezea akili.
Nani?Wamejaribu Mahakamani wakasema Serikali haishtakiwi.
Wao si wanavaaga ma tshirt yenye picha ya Mama na kusema anatosha na atawatosha kisawasawaInasikitisha kuona Serikali inafukuza Watumishi wake waliowakopesha Nyumba Kwa Nguvu Kwa kushindwa kulipa deni lote ndani ya Mikataba wa Miaka 3-7. Imagine ameuziwa Nyumba Semi finished, aifanyie finishing ya zaidi ya Million 50, Hapo analipa deni Kila Mwezi. Bado anajitunza yeye na Family.
Mshahara take home Laki 6 Kwa Mwezi. Huyu Mtu ataishije? Mikataba mingine waliingia bila kujua uzito wa kazi ya Nyumba walizonunua zikiwa "Semi finished" wakikimbia Kodi Uswahilini na adha ya Wenye Nyumba.
Watumishi hawa wamejikuta Wana mizigo mikubwa ya KuService deni la Nyumba la kufanyia Nyumba finishing ili iweze kukalika mikataba ukaisha deni bado kulipika. Wamejaribu kujieleza kuomba mikataba mingine TBA imekataa Kwa kupewa Nguvu na Waziri wa Ujenzi wafukuzwe.
Hivi mpaka itokee Aibu ya kufukuza Watumishi Kwa kushindwa kulipa ndani ya Mikataba Kwa nini Serikali isiwasikilize Watumishi hawa? Ni Huzuni Sana kumfanyia Mtumishi au Mstaafu aliepewa mafao ya Kikokotoo unyama huu. Serikali ni Sikivu iwasikilize Wadaiwa wake Kwa kuwa hakuna aliyefanya makusudi kutomaliza Deni.
Kutukanwa nayo ni ajabu?Bila Matusi unaweza Kuchangia hoja. Hakuna asiyetaka kulipa. Ila Mikataba imeisha wakiwa hawajamaliza Deni. Ukae Nyumba usilipe no, tatizo Finishing na Deni na salio la Mshahara halitoshi. Muda ukiongezwa Wanalipa. Hata hivyo zikilipwa haziendi Mfukoni kwako wewe unayedhihaki wenzio.
Sawa wakilipa zitaenda Mfukoni kwako. Na TBA ni taasisi ya Ukoo wako. Hayo yatapita na wewe Hapo TBA unapita tuuu. Usifanye Misiba ya Wenzako Kicheko na dhihaka zako. Be nice to people because you don't know the battle they are Fighting. Matusi yatakurudia one dayKutukanwa nayo ni ajabu?
Tatizo ulisaini mmekubaliana terms and conditions
Shida inakuja wewe kutokutimiza your end of the bargain
Unakuja na visababu vya your own failure eti uachiwe....who the fvck will pay?
Eti Finishing,thats your preferences not the seller
Nakudhihaki sana unaleta upumbavu wa kutaka kurusha watu hela yao upewe nyumba bure....Hiyo nyumba ilitoka hewani?
TBA nao walikopa benki,wanadaiwa interests za ajabu halafu unakuja kuleta upumbavu eti usamehewe,hivi are you insane?
Agian,kama thinking yako ni ya namna hii kuomba nyumba za bure,nakutukana kwa mara ya pili!