Inasikitisha Mtumishi wa Umma anafanyiwa Eviction kwa kushindwa kulipa Deni la kuuziwa Nyumba na TBA

Inasikitisha Mtumishi wa Umma anafanyiwa Eviction kwa kushindwa kulipa Deni la kuuziwa Nyumba na TBA

Inanambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,039
Reaction score
2,840
Inasikitisha kuona Serikali inafukuza Watumishi wake waliowakopesha Nyumba Kwa Nguvu Kwa kushindwa kulipa deni lote ndani ya Mikataba wa Miaka 3-7. Imagine ameuziwa Nyumba Semi finished, aifanyie finishing ya zaidi ya Million 50, Hapo analipa deni Kila Mwezi. Bado anajitunza yeye na Family.

Mshahara take home Laki 6 Kwa Mwezi. Huyu Mtu ataishije? Mikataba mingine waliingia bila kujua uzito wa kazi ya Nyumba walizonunua zikiwa "Semi finished" wakikimbia Kodi Uswahilini na adha ya Wenye Nyumba.

Pia soma: Mtumishi wa umma jitahidi ukope kwa awamu zenye muda mfupi mfupi

Watumishi hawa wamejikuta Wana mizigo mikubwa ya KuService deni la Nyumba la kufanyia Nyumba finishing ili iweze kukalika mikataba ukaisha deni bado kulipika. Wamejaribu kujieleza kuomba mikataba mingine TBA imekataa Kwa kupewa Nguvu na Waziri wa Ujenzi wafukuzwe.

Hivi mpaka itokee Aibu ya kufukuza Watumishi Kwa kushindwa kulipa ndani ya Mikataba Kwa nini Serikali isiwasikilize Watumishi hawa? Ni Huzuni Sana kumfanyia Mtumishi au Mstaafu aliepewa mafao ya Kikokotoo unyama huu. Serikali ni Sikivu iwasikilize Wadaiwa wake Kwa kuwa hakuna aliyefanya makusudi kutomaliza Deni.
 
Inasikitisha kuona Serikali inafukuza Watumishi wake waliowakopesha Nyumba Kwa Nguvu Kwa kushindwa kulipa deni lote ndani ya Mikataba wa Miaka 3-7. Imagine ameuziwa Nyumba Semi finished, aifanyie finishing ya zaidi ya Million 50, Hapo analipa deni Kila Mwezi. Bado anajitunza yeye na Family. Mshahara take home Laki 6 Kwa Mwezi. Huyu Mtu ataishije? Mikataba mingine waliingia bila kujua uzito wa kazi ya Nyumba walizonunua zikiwa "Semi finished" wakikimbia Kodi Uswahilini na adha ya Wenye Nyumba. Watumishi hawa wamejikuta Wana mizigo mikubwa ya KuService deni la Nyumba la kufanyia Nyumba finishing ili iweze kukalika mikataba ukaisha deni bado kulipika. Wamejaribu kujieleza kuomba mikataba mingine TBA imekataa Kwa kupewa Nguvu na Waziri wa Ujenzi wafukuzwe. Hivi mpaka itokee Aibu ya kufukuza Watumishi Kwa kushindwa kulipa ndani ya Mikataba Kwa nini Serikali isiwasikilize Watumishi hawa? Ni Huzuni Sana kumfanyia Mtumishi au Mstaafu aliepewa mafao ya Kikokotoo unyama huu. Serikali ni Sikivu iwasikilize Wadaiwa wake Kwa kuwa hakuna aliyefanya makusudi kutomaliza Deni.
Ni nani na ni wapi huko? Tanzania ni kubwa!

Halafu tupia picha tuone hiyo nyumba
 
Una mshahara wa laki sita una kopesha nyumba ya 50M??

Acheni kutuchezea akili.
 
Kitu ambacho nimejifunza sector ya nyumba ni muhimu sana kama driving force ya uchumi.

Ukienda nchi za wenzetu (private debt) 90% ni mortgages. Sisi kwetu private debt sehemu kubwa ni mikopo ya wafanyakazi (consumption loan).

Very bad how kuekezea hadithi yake kwanini ‘vice versa’ ya consumer loans kuwa kubwa kushinda secured loans ni hadithi ndefu.

Fanya research yako ya private debt duniani uwezi kukuta ‘consumer loan’ ni kubwa kushinda secured loan.

Kuelezea sasa mpaka haya mapoyoyo ya serikali ya elewe ndio mtihani; Lakini sasa kuna watanzania wakurugenzi wa bank na financiers.

Unaweza wale walio kwenye banks kutojali hiyo tofauti mradi kwao kuna faida ya consumer loan (maana it’s very much secure) kwakuwa serikali inatoa guarantee ya mishahara ya wafanyakazi.

Why would they want to risk in actual secure loans for cheap at 5% interest, jumlisha na akili za TBA na NHC kwenye kupambana wananchi wamiliki nyumba.

Tanzania inaongozwa na watu wajinga sana wasio na uwezo.

Mtu pekee mwenye akili ni Dorothy Gwajima tu.
 
Una mshahara wa laki sita una kopesha nyumba ya 50M??

Acheni kutuchezea akili.
Mambo ambayo yanataka watu wajifunze personal finance.

Kuweka deposits za kunununua nyumba.

Serikali kusimamia interest rates

Banks kuacha tamaa na kutoa offer nzuri kwa wakopaji wa secured loans based on ‘loan to value ratio’ na stability ya mkopajo.

Mfanyakazi wa mshahara wa laki sita nyumba ya millioni 50 anatakiwa aimudu kabisa. Kama serikali Ina mikakati ya kutaka watu wamiliki nyumba.

Sema ni serikali inayoongozwa na watu wajinga. Consumer loans aiwezi zidi secured loan. .
 
Kama ni mwalimu au nesi itaniuma sana , lakini kama ni yule DC alietenguliwa wa longido wala siwezi kusikitika
Ni Waalimu na wengineo. Nyumba "Semi Finished" haina Sakafu, plaster,Wiring, plumbing, ceiling, Rangi,Milango ya vyumbani,iko maporini. Mtumishi anaikarabati iweze Kutumika huku anatakiwa kulipa Mkopo wa Nyumba na Benki. Anaomba aongezewe Mkataba hawataki. Nyumba zenyewe siyo Sawa na za magomeni au za Dodoma zilizouzwa zimekamilika.
 
Ni shida, msingi wa tatizo ni sera (mikakati) ya kutaka kuona nchi inakuwa na home owners wengi.
 
Cha mtu mavi wahenga walinena.. Badala ya kufanyia ukarabati wa over 50M alitakiwa kumaliza deni kwanza.. Sasa ona nyumba imenawiri imetakata wameitamani
 
Cha mtu mavi wahenga walinena.. Badala ya kufanyia ukarabati wa over 50M alitakiwa kumaliza deni kwanza.. Sasa ona nyumba imenawiri imetakata wameitamani
Hiki ni cha Serikali. Watumishi ni wa Serikali. Vipato vya Watumishi wao wanavijua. Unamfukuzaje badala ya kumsikiliza?? Serikali Sikivu ni ipi ikiwa hata kuongeza Mkataba hawasililizi? Unamfukuzaje Mtu ilihali ana nia ya kulipa? Haya yalitokea Ubungo Plaza Blue Pearl 2016 Hadi Leo jengo halina matumizi na Kodi hailipwi.
 
Back
Top Bottom