Artificial intelligence
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 1,265
- 2,252
- Thread starter
-
- #41
Wakemia wapo, ila wenye plants zao hukwepa kuwatumia kutokana na gharama zao kwa sababu wana uelewa mpana wa madhara ya hizo kemikali.Kaka kanda ya ziwa kuna shida sana kwenye issue za plant na elution suala la usalama na hata utunzaji wa chemical zinazotumika kuna shida kidgo japo siyo sehemu zote, kweny suala la mkemia hapa tukubaliane kwamba tanzania wakemia wa masuala ya madini wapo ila lazima tupate wakemia bora ili kupata faida nzuri tatzo ni kwamba hao pia wapo ila ni wachache sana, na ni kama serikali haijawekeza sana kwao na kwa watu wenye plant na elution hasa kwenye suala la elimu ya afya za watu, utunzaji wa mazingira na kuwa updated kila mara
Mkuu ulivuta hewa ya cyanide yenyewe kabisa au ni kemikali nyingine???Nishawahi kutembelea hizo plants mpaka ellusion ambapo ndio final stage ya process ya kupata dhahabu
Kwanza siku niliyofika nikiwa geti la kwanza kabisa huku karibia na barabara nikaribishwa na harufu kali ya cyanide.
Kufika ndani nikakutana na vijana wanacheza draf wengine wanakula nguna hawana habari na ile harufu wakati huo mimi nimevaa mask na bado nimeshikila pua at the same time
Kuingia geti la pili nikakutana na kesi, ng'ombe za wasukuma zilikunywa maji ya mto ambayo yalikua contaminated na sumu za plant. Ng'ombe kama 15 zimedanja wasukuma wamekuja kuweka bunge wanataka walipwe
Mmiliki wa plant alikua na mkwanja, akawanyamazisha wale wasukuma wakasepa.
Tulizunguka maeneo ya mle ndani tukagundua kuna vijana wengi sana ambao wameajiriwa kwa ajili ya kuopoa mchanga kwenye tanks ambazo wanachanganyia hizo sumu hii kazi imebatizwa kwa jina la chepe
Mazingira ya kiusalama kiukweli ni mabovu sana, wale vijana hawapewi vizuizi vya kujikinga na sumu na wao wanaona freshi tu as long as wanalipwa on time
Kwenye yale matank ya michanga nilishuhudia kuona vitu vingi vyenye kuashiria hatari ya ile kazi na kufikiria kwamba ilikua ni kazi iliyopaswa ifanywe na maroboti na sio watu.
Ile harufu ya ile sumu kwenye zile tanks ilikua ikivutia sana wadudu na ndege, kuna zile ndege ambazo zinaruka juu na kushuka chini ya maji kisha kunywa maji bila kutua zikiwa zina hang angani, hizi nimeshuhudia kwa macho yangu zikishuka na kudonoa yale maji na kuanguka hapo hapo yani hata kufurukuta hakupo
Na hilo ndo tatzo kubwa ila hii ni industry ambayo inatoa pesa nying tu sema vitu vingi vinafanyika kihuni tu na pia rushwa sana ila chemicala zote zina madhara makubwa sanaWakemia wapo, ila wenye plants zao hukwepa kuwatumia kutokana na gharama zao kwa sababu wana uelewa mpana wa madhara ya hizo kemikali.
Hiyo hiyo cyanideMkuu ulivuta hewa ya cyanide yenyewe kabisa au ni kemikali nyingine???
Isitoshe hili suala linaweza kumalizwa hata na mkuu wa wilaya tu,sijui wanafeli wapi,wakati vijana nguvu kazi ya taifa inapotea kizembe kabisa!!!Na hilo ndo tatzo kubwa ila hii ni industry ambayo inatoa pesa nying tu sema vitu vingi vinafanyika kihuni tu na pia rushwa sana ila chemicala zote zina madhara makubwa sana
Kwamba kazi ya maroboti[emoji23][emoji23], ndiyo kazi za wakemia hizo, ndiyo maana ukikutana na mkemia ambaye ashafanya kazi maabara sana anakuwa kama amechanganyikiwa.Nishawahi kutembelea hizo plants mpaka ellusion ambapo ndio final stage ya process ya kupata dhahabu
Kwanza siku niliyofika nikiwa geti la kwanza kabisa huku karibia na barabara nikaribishwa na harufu kali ya cyanide.
Kufika ndani nikakutana na vijana wanacheza draf wengine wanakula nguna hawana habari na ile harufu wakati huo mimi nimevaa mask na bado nimeshikila pua at the same time
Kuingia geti la pili nikakutana na kesi, ng'ombe za wasukuma zilikunywa maji ya mto ambayo yalikua contaminated na sumu za plant. Ng'ombe kama 15 zimedanja wasukuma wamekuja kuweka bunge wanataka walipwe
Mmiliki wa plant alikua na mkwanja, akawanyamazisha wale wasukuma wakasepa.
Tulizunguka maeneo ya mle ndani tukagundua kuna vijana wengi sana ambao wameajiriwa kwa ajili ya kuopoa mchanga kwenye tanks ambazo wanachanganyia hizo sumu hii kazi imebatizwa kwa jina la chepe
Mazingira ya kiusalama kiukweli ni mabovu sana, wale vijana hawapewi vizuizi vya kujikinga na sumu na wao wanaona freshi tu as long as wanalipwa on time
Kwenye yale matank ya michanga nilishuhudia kuona vitu vingi vyenye kuashiria hatari ya ile kazi na kufikiria kwamba ilikua ni kazi iliyopaswa ifanywe na maroboti na sio watu.
Ile harufu ya ile sumu kwenye zile tanks ilikua ikivutia sana wadudu na ndege, kuna zile ndege ambazo zinaruka juu na kushuka chini ya maji kisha kunywa maji bila kutua zikiwa zina hang angani, hizi nimeshuhudia kwa macho yangu zikishuka na kudonoa yale maji na kuanguka hapo hapo yani hata kufurukuta hakupo
Hapo nimezungumzia kule kwenye kuopoa yale mamichanga kwenye zile tanks, juzi hapo kuna dogo kafariki alikua anaopoa carbonKwamba kazi ya maroboti[emoji23][emoji23], ndiyo kazi za wakemia hizo, ndiyo maana ukikutana na mkemia ambaye ashafanya kazi maabara sana anakuwa kama amechanganyikiwa.
Tanzania kweny industry ya mining hasa hawa wachimbaji wadogo na wachimbaji wa kati kuna changamoto sana, hizi plant zinaingiza hela sana ila ni kama serikali huwa inawapenda sana pale wanapokuja kukusanya kodi tuIsitoshe hili suala linaweza kumalizwa hata na mkuu wa wilaya tu,sijui wanafeli wapi,wakati vijana nguvu kazi ya taifa inapotea kizembe kabisa!!!
Umenena vyemaMkuu sidhan Kama umefanya tafiti sahihi kwasbb moyo wa plant wote utegemea mkemia. Mkemia fake si kuleta madhara kwa watu tu, Bali kuleta hasara kubwa kwa kutosababisha dhahabu ikamatwe kwenye cabon.
Kwa mmiliki wa plant au mtu aliyepeleka rundo kuozesha hawez kuwa na mkemia fake maana atajua yuko hatarin kupata hasara.
Jambo lingine zile kemikali ni hatari Sana kwa binadam na wanyana na hata mimea. Mfano sayanaidi ni sum mbaya, sidhan Kama kweli mtu anachezea maisha yake kijinga jinga.
Kama hiyo haitoshi sehem ya kujenga plant serikali kupitia watu wa mazingira NEMK, wako Makin Sana kutoa vibali haswa kwa kuangalia yale maji ya shimo la sumu.
So nakubaliana na wewe kwa kias kidogo, siyo plant zote Zina hatarisha maisha, uenda ni uko Kanda ya ziwa tu. Unaweza kwenda Kanda ya kati mfano pale dodoma kule NHOLI, plant zote ziko na wataalam na Serikali inasimamia usalama wa watu kwa ukaribu sana.
Wanavuna pesa nyingi sana, ndiyo maana wanatoa rushwa sana, pesa ipo.Na hilo ndo tatzo kubwa ila hii ni industry ambayo inatoa pesa nying tu sema vitu vingi vinafanyika kihuni tu na pia rushwa sana ila chemicala zote zina madhara makubwa sana
Wakuu wa wilaya wanawekwa mfukoni na hao wenye plants, kuna wilaya moja mwenye plants alikuwa amewaweka mfukoni mkuu wa Wilaya na mkurugenzi wote na amewazawadia hadi gari kila mmoja, JPM alipotembelea hiyo wilaya akampiga stop yule jamaa, na akamwambia mkuu wa wilaya hiyo warudishe gari walizopewa na huyo jamaa. Kwahiyo mambo sio mepesi.Isitoshe hili suala linaweza kumalizwa hata na mkuu wa wilaya tu,sijui wanafeli wapi,wakati vijana nguvu kazi ya taifa inapotea kizembe kabisa!!!
Jamaa akawaziba midomo kwa kuwapa magari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakuu wa wilaya wanawekwa mfukoni na hao wenye plants, kuna wilaya moja mwenye plants alikuwa amewaweka mfukoni mkuu wa Wilaya na mkurugenzi wote na amewazawadia hadi gari kila mmoja, JPM alipotembelea hiyo wilaya akampiga stop yule jamaa, na akamwambia mkuu wa wilaya hiyo warudishe gari walizopewa na huyo jamaa. Kwahiyo mambo sio mepesi.
Loh! Tungoje Itai Itai tu. Waulizeni Wajapani wanalijua sana hili.Limeshajaa Zebaki hilo Ziwa.
Hali ni mbaya kwelikweli sio utani.Kumbe ndivyo hali ilivyo huko kwenye uchimbaji, duh Hii ni zaidi ya kubebeshwa unga (a.k.a kuwa punda) hali mbaya sana kwa vijana wenzetu as3
Na ulikuwa mkutano wa adhara, JPM akamsimamisha mbele ya watu.Jamaa akawaziba midomo kwa kuwapa magari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jpm alikuwa mbabe sana,apumzike salama mwamba!!!!