Inasikitisha na kuhuzunisha sana jinsi 'plants' za madini zinavyohatarisha maisha ya watu

Hapa umeongea point ya msingi, na kuna member nimemwambia basics ni kitu cha muhimu, uzoefu tu haitoshi.
 
Kuna shida kuu mbili

1. Umaskini na ukosefu wa uzalendo (hasa kwa watumishi wa umma)

2. Ubutu wa TISS!

Hizo ndio zinapelekea hizo shida.
 
Kitaalam kujenga ellution plants ni gharama kama unataka ijengwe kitalaam na watalaam kwa kuzingantia precaution zote.... sasa ellution inajengwa kwa 40-50M

Controlling ya plants inahitaji gharama kwa maana ya uendeshaji, tools, materials, na wataaam...hapo lazima ununue std kila kitu na lazima uajili certified workers kila mahala wawe permanent na uwalipe vizuri..

Kuna vitu ni vigumu kuviwekea sheria na kuvicontrol maana tumeruhusu kila mtu kuvifanya matokeo yake ni madhara makubwa na maafa kwa wahusika na jamii na mmoja akinufaika kwa kuwa tajiri huwa maelfu ya nguvu ikifa au kupata ulemavu..

Lazima tukubali na tuamue ili tuwe salama na maisha yaende vizuri lazima tuchore mstari kwenye uwelezaji wa baadhi ya vitu kama bishara ya uchimbaji na uuzaji wa madini, biashara ya usafirishaji mizigo na abiria, vyombo vya baharini, uvuvi baharini na ziwani, viwanda nk...
 
Kapicha tafadhali[emoji849][emoji849]
 
Kuna shida kuu mbili

1. Umaskini na ukosefu wa uzalendo (hasa kwa watumishi wa umma)

2. Ubutu wa TISS!

Hizo ndio zinapelekea hizo shida.
Sipendi kuwakosoa sana TISS, Ila inabidi waongeze ufanisi na juhudi zaidi katika utendaji kazi wao.
 
Hamna cha certification wala nini, lakini bado hatujachelewa sana kufanya mabadiliko inawezekana, kwahiyo ni Serikali tu kuhamua.
 
Bora ulichomoka, yaani kemikali zipo exposed sana kiasi cha kwamba hata watu hawajali tena kuhusu afya zao.
 
Ninachojua mimi ni kwamba HCL hutumika kutengeneza Aqua regia pia kuoshea carbon, haya nijuze wewe hiyo Sulphuric acid huko kwenye plants wanaitumia kuandaa nini au ina matumizi gani?
Hapo kwenye small molecules unatupiga tu, fahamu kuwa acid yeyote ile ina percentage yake,
 
Best article, hawa jamaa ni wala rushwa wakubwa. Niliwahi kuandika kuhusu Makampuni ya Wachina, ni ujinga huo huo
 
Umeona hicho tu article nzima?
 
Hongera Kwa unachokifahamu sio mbaya. Hivi ninavyosema small molecules unanielewa? au ulidhani namanisha small molecules ni sulfuric acid, umeshafanya kazi maabara yeyote ya plants au unachojua ni kuosha carbon tu, any way baki na hicho hicho unacho jua haina shida wala, kingine nisingependa tupimane uelewa hapa sio lengo la uzi wangu.
 
Hakika huwa ni mazingira magumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…