Inasikitisha na kuumiza moyo kiasi gani??

Inasikitisha na kuumiza moyo kiasi gani??

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,914
Reaction score
168,320
Just imagn una fuga mbwa alafu mbwa anakua mvivu kiac kwamba mbwa wajirani aki bweka nae ana sema
'me too'...
 
Labda amekonda halafu haoni pa kujishika ili abweke.

Jana nilikuwa nimemshika nikitembea naye matembezi ya asubuhi, tukawaona mbwa wa polisi wameshikwa na polisi wanafanya mazoezi. Akasema wacha sisi tusiosoma tuendelee kula vyakula vya majalalani, ona yule mwenzangu mbwa wa polisi msomi sasa anaenda zake kazini
 
Tatizo ni kufuga "Vijibwa" !
Kua'avoid hilo ni kufuga "Mijibwa"
Chezeiya "Jibwa" weyee?
Habari za Jibwa muachie Babaa na Mamaa!
 
Dah
Huyo mbwaa ni nooma!!
Mkimbize
 
masikini mbwa koko huyo!! dah pole sana
 
Mbwa koko hafugiki. Na ukimpa chakula cha shoprite anaona unamtesa.
 
Hahahahaa sawa lakini walau atabadilika. . . Au amkabidhi da good sepetunga apigwe shoppinge!
Paloma, mbwa mwenyewe kisha jizoelea maharage na mabaki ya ukoko, ukimpiga na kitu cha shopping si atakufa kwa presha?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom