Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Labda amekonda halafu haoni pa kujishika ili abweke.
Just imagn una fuga mbwa alafu mbwa anakua mvivu kiac kwamba mbwa wajirani aki bweka nae ana sema
'me too'...
Akienda kwa wachainizi atarudi analia kama kuku. Shaurilo!