Inasikitisha, Nimelia sana: Hii picha ya Dr Bashiru ni usaliti mkubwa, sikutarajia

Inasikitisha, Nimelia sana: Hii picha ya Dr Bashiru ni usaliti mkubwa, sikutarajia

Huyu mhujumu uchumi anabahati hajapost Barbara za arusha sipati picha RPC Shana angemfanya nini, kama meza ya mbao za mninga ilikatika vipande viwili kwa ngumi zile nzito za kamanda Shana alivokuwa ajiapiza kumshughulikia lema, huyu bashiru angepata tabu sana.
 
Kwanza hueleweki unalilia nini

Nchi ina changamoto ya barabara serikali ijitahidi kutatua changamoto kuliko kujisifia, kwani barabara zikiwa bora itakuwa siri? Si kila mtu ataona barabara nzuri?

Kuna maeneo serikali imejitahidi barabara ni nzuri na watu hupiga picha na kupost mbona hukuja kulalamika juu ya hilo?

Ikiwa fasihi hii ya darasa la 3 imekushinda, wewe pia unatuhujumu oxgen huku kitaa.
 
Nawaangalia Halafu Nasema Hii Bhaghoshaa 😁😂😃😄😅
 
Dah hivi inawezekana je mtu kama Bashiru anafanya kitendo kama hiki, ni ukatili kwa nchi yetu siyo kwa Gambo na Rpc peke yao.
Huu ni uhujumu uchumi ni kweli hauna jina lingine.



Hivi kaipost wapi au status yake ya whatsapp[emoji3][emoji3]
Sheria zinazuia kupiga picha za maeneo ya mbuga za wanyama, na maeneo kama hayo na kusambaza bila ruhusa. Hiko ndio kilichotokea Arusha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba ukituma ukweli huu kwa ccm unapaswa kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi_ K ( 800 X 640 ).jpg
 
Kwa kweli kama Watanzania hatutasimama pamoja na wazalendo wakubwa nchii hii yaani RC Gambo pamoja na RPC shana basi historia itatuhukumu sana

Jana nimeweka picha ya jaji namba 62 alivyopost picha ya kuidhalilisha nchi na kuhujumu uchumi leo tena tunaona Dr Bashiru kafanya the same,tunaomba Rais Magufuli uingilie kati uchukue hatua kali dhidi ya bashiru na yule jaji ili umpe moyo kijana wako mpendwa ambaye unamuamini yaani Rc Gambo katika kulipigania taifa

Jamani tupo kwenye vita ya kiuchumi,kupost haya mapicha yanayodaiwa kuwa ni barabara mbovu ni kuhujumu uchumi,haikubaliki,maadaui wanaweza wakajiona wameshinda kisaikolojia

NAUNGANA NA RC GAMBO NA RPC SHANA KATIKA KUISHINDA VITA HII YA WANAOPOST BARABARA MBOVU kama kweli ni mbovu si watoe taarifa kwa wahusika zitengenezwe?
View attachment 1362619
Kumbe likija suala la kuzama halina chama! Wale Nyoko wanaotoa matamshi ya kipuuzi kama vile wamefunga choo waje hapa
IMG_20200219_072625.jpeg
Screenshot_20200219-072806.jpeg


Kitochi Original
 
Ni kweli nchi nzima hali Sio nzuri kwa sababu ya hali ya mvua nyingi kupost Sio kupotosha naona ni njia ya kuwakumbushawahusika
 
Jamani kwani hamjui kuwa sheria ni shoka,yaani inachagua pakukata!
 
Back
Top Bottom