Tatizo Pele halijapata MkunajiInamaana hiyo cruiser mkonga imepita afu cruiser vx v8 imekwama!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza hueleweki unalilia nini
Nchi ina changamoto ya barabara serikali ijitahidi kutatua changamoto kuliko kujisifia, kwani barabara zikiwa bora itakuwa siri? Si kila mtu ataona barabara nzuri?
Kuna maeneo serikali imejitahidi barabara ni nzuri na watu hupiga picha na kupost mbona hukuja kulalamika juu ya hilo?
Muongo mkubwa, kwa sheria ipi?Sheria zinazuia kupiga picha za maeneo ya mbuga za wanyama, na maeneo kama hayo na kusambaza bila ruhusa. Hiko ndio kilichotokea Arusha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kutafuta ubingwa wa upuuzi na matusi ya kipumbavu yanini!! Unamtukana mama wa watu kakosea nini? Ama waitafuta laana?kinyeo cha mama yako nakbali
ππππIkiwa fasihi hii ya darasa la 3 imekushinda, wewe pia unatuhujumu oxgen huku kitaa.