K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Jan 24, 2025 #21 hutaki tulinde upunda wetu(pipi za wakubwa zitafikaje nchini na kuuzwa)
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Jan 24, 2025 #22 hutaki tulinde upunda wetu
N Nangu Nyau JF-Expert Member Joined Jul 1, 2022 Posts 5,015 Reaction score 14,139 Jan 24, 2025 #23 Siasa ndio biashara inayolipa sana Tanzania. Na wao wameamua kula pilau bila kunawa mikono maisha yaende. Fikra za watawala Tanzania ni kushinda uchaguzi kwa gharama na hasara yeyote ile.
Siasa ndio biashara inayolipa sana Tanzania. Na wao wameamua kula pilau bila kunawa mikono maisha yaende. Fikra za watawala Tanzania ni kushinda uchaguzi kwa gharama na hasara yeyote ile.
A Arizona 1 JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 605 Reaction score 1,279 Jan 24, 2025 #24 Lamomy said: Njaa ndo tatizo kubwa..!! Click to expand... Na hili ndio tatizo halisi, hamna cha uhuru wala nini! hao wasanii kwa asilia kubwa hawana mali wala bishara za kutisha, wachache ndio wana mafanikio makubwa, hivyo ni njaa ya kupata chochote kitu ndio inawapeleka.
Lamomy said: Njaa ndo tatizo kubwa..!! Click to expand... Na hili ndio tatizo halisi, hamna cha uhuru wala nini! hao wasanii kwa asilia kubwa hawana mali wala bishara za kutisha, wachache ndio wana mafanikio makubwa, hivyo ni njaa ya kupata chochote kitu ndio inawapeleka.