Inasikitisha pengine wasanii wetu hawapo huru wameamua kujihusisha na siasa ili kulinda kazi zao na mali zao

Inasikitisha pengine wasanii wetu hawapo huru wameamua kujihusisha na siasa ili kulinda kazi zao na mali zao

hutaki tulinde upunda wetu(pipi za wakubwa zitafikaje nchini na kuuzwa)
 
Siasa ndio biashara inayolipa sana Tanzania.
Na wao wameamua kula pilau bila kunawa mikono maisha yaende.

Fikra za watawala Tanzania ni kushinda uchaguzi kwa gharama na hasara yeyote ile.
 
Njaa ndo tatizo kubwa..!!
Na hili ndio tatizo halisi, hamna cha uhuru wala nini! hao wasanii kwa asilia kubwa hawana mali wala bishara za kutisha, wachache ndio wana mafanikio makubwa, hivyo ni njaa ya kupata chochote kitu ndio inawapeleka.
 
Back
Top Bottom