njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Mwaka jana mwezi March wakati Motsepe anachaguliwa kuwa Rais wa Caf katika mkutano uliofanyika Rabat Moroko kiu na hamu ya wengi ilikuwa ni kumuona CEO Senzo na Injinia Hersi wa Yanga wakitia team mkutanoni
Kiu hiyo siyo ya wabongo ni wadau mbalimbali wa Afrika waliokuwa na hamu wa kuona mabingwa hao wa kihistoria na unaambiwa kabisa kulikuwa na session ya kuelezea jinsi klabu za afrika zilivyochangia ukombozi na uhuru hapo ndipo Yanga walitakiwa watoe speech kuelezea jinsi walivyoikomboa Tanganyika
Amini usiamini hawakualikwa jamani,wakati mwaka huu adui yao Karia kaamua kumualika Senzo baada ya kujua hayupo tena pale na kuwaalika simba mwaka jana adui yao ni Rais wa shirikisho la soka Moroko aitwaye FOUZ LEKJAA , haijajulikna hadi sasa kwaninini Lekjaa alimualika Barbara na kuwakazia Yanga.
Mkutano wa 43 na 44 yote wamefanyiwa roho mbaya sana