Inasikitisha sana na kuonesha hatuna Utu. Majini yametutawala kichwani. Kumuua huyu Dogo?

Inasikitisha sana na kuonesha hatuna Utu. Majini yametutawala kichwani. Kumuua huyu Dogo?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Maskini. Wala hakuwa na silaha au kundi la kusema anatishia maisha kiongozi yeyote. Tunamuua kwa sababu za kipuuzi kabisa. Na kunywa damu yake ili kusafisha nyota zetu.

Mwangalie hapa anatabasamu.

Screenshot_2025-09-01-15-03-43-183_com.android.chrome~2.jpg
 
Aysee, na stori ndio imeishia hapo yan,
 
Kuna mi-mtu ina laana sana! Mtu unakuwa.mtumwa wa mtu mpaka kutoa uhai wa binadamu mwingine.
Dawa za hawa watu kuanzia Rais na wote Mungu alowapa dhamana, watalipia tu...
 
Kuna watawala washirikina sana na walevi. Hawajali kabisa maisha ya watu wengine hasa hawa wasio na faida kwao.
 
Back
Top Bottom