Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Ni CCM mtandao nini!Maskini. Wala hakuwa na silaha au kundi la kusema anatishia maisha kiongozi yeyote. Tunamuua kwa sababu za kipuuzi kabisa. Na kunywa damu yake ili kusafisha nyota zetu.
Mwangalie hapa anatabasamu.
View attachment 3461246
Ni nani huyu kijana?, au ndo yule aliyechora sijui aliyechana picha ya mama Abdul?Maskini. Wala hakuwa na silaha au kundi la kusema anatishia maisha kiongozi yeyote. Tunamuua kwa sababu za kipuuzi kabisa. Na kunywa damu yake ili kusafisha nyota zetu.
Mwangalie hapa anatabasamu.
View attachment 3461246