Ndio maana mmemchukua ni mhamasishaji mzuri sana.Sema tu Simba haina muhamasishaji tena usisingizie hujuma. Haji anajua kuhamasisha.. Pengo lake limeshaanza kuonekana.
Kwa nini unamdanganya?Ndio maana mmemchukua ni mhamasishaji mzuri sana.
Pongezi kwenu
Atawaletea mafanikio katika timu yenu.
Kama alivyowaletea Senzo Masingiza.
Yeye kamsifiaKwa nini unamdanganya?
😝😝😝😝😝😝😝Yeye kamsifia
Mi nimemkubalia kwamba anachowaza ni sahihi.
Ili nimfurahishe.
Kwenda uwanjani kuangalia timu yako unahitaji uhamasishwe na Haji ?Sema tu Simba haina muhamasishaji tena usisingizie hujuma. Haji anajua kuhamasisha.. Pengo lake limeshaanza kuonekana.
Ni sawa na mzazi kumwambia mtoto "hivi wewe kufaulu darasani unahitaji uhamasishwe na mimi kusoma?"Kwenda uwanjani kuangalia timu yako unahitaji uhamasishwe na Haji ?
Kwamba Haji ni sawa na mzazi? Mbona umetumia mfano ambao hauhusiki kabisa hapa?Ni sawa na mzazi kumwambia mtoto "hivi wewe kufaulu darasani unahitaji uhamasishwe na mimi kusoma?"
Mzazi ana mchango mkubwa katika ufaulu wa mtoto.
Sema tu Simba haina muhamasishaji tena usisingizie hujuma. Haji anajua kuhamasisha.. Pengo lake limeshaanza kuonekana.
Ndio maana mmemchukua ni mhamasishaji mzuri sana.
Pongezi kwenu
Atawaletea mafanikio katika timu yenu.
Kama alivyowaletea Senzo Masingiza.
Isiwe nongwa Mfano mwingine ni huu..Kwamba Haji ni sawa na mzazi? Mbona umetumia mfano ambao hauhusiki kabisa hapa?
Ni sawa na mzazi kumwambia mtoto "hivi wewe kufaulu darasani unahitaji uhamasishwe na mimi kusoma?"
Mzazi ana mchango mkubwa katika ufaulu wa mtoto.
Wapo wenzako waliowahi kwenda kwa kuhamasishwa nae. Sio kila mtu anaweza kula wali mkavu wengine mpaka mboga iwepoSijawahi kwenda uwanjani kwa kuhamasishwa na Manara,nakwenda kwa pesa yangu na mapenzi kwa Simba.Mimi na familia yangu kwa Mkapa Jumapili asubuhi tu.
Kwamba Haji hakuwahamasisha wachezaji wa Yanga dhidi ya Rivers na Zesco?Isiwe nongwa Mfano mwingine ni huu..
Wachezaji hawajui kama ni jukumu lao kwenda kucheza vizuri uwanjani wapate matokeo? Kama wanajua mbona bado makocha na wamiliki wanawahamasisha na muda mwingine wanawatangazia hadi bonus wakipata matokeo mazuri?