Inasikitisha sana: Simba day ishafelishwa na tulioaminishwa ni wa kisasa

Inasikitisha sana: Simba day ishafelishwa na tulioaminishwa ni wa kisasa

Pale Benjamin Mkapa kwa Yanga ni padogo kwakua katika Siku ya wananchi mashabiki Wali ujaza uwanja mapema Sana na mbaka mageti yanafungwa ili watu wasi endelee kuingia.
Idadi ya waliobahatika kuingia na walio kosa kuingia na kubaki nje zilikua zikitofautiana kidogo Sana. Ili Yanga wawe katika full scale Inabidi uwepo uwanja wa kubeba watu 120,000.
 
Mimi nilikua shabiki wa Simba wa kimyakimya coz niliona soka la bongo mizinguo ila maneno ya Manara yalinivuta kunifanya nianze kufuatilia mechi za Simba. Jamaa ana kasoro zake ila kazi yake anaiweza.

[emoji3][emoji3][emoji3] kama uliipenda Simba sababu ya Manara ni wakati sahihi ukamfuata aliko sasa
 
Simba ili kuondoa aibu ya kuto ujaza uwanja, wangetumia shamba la Bibi. Kutaka kushindana na Wananchi hawawezi, Wananchi hawaitaji promo wenyewe wanakwenda kwa mapenzi.
Wao wanaenda na Kapumbu
 
Unaamka unawashwa umbea asubuhi asubuhi, kwa sababu unajiona ni bingwa wa kupigwa mjengo, sisi wengine marinda tunang'oa kabisa.
Naona baada ya kukosa Wateja kwa muda mrefu na Soko lako Kudumaa sasa kwa njia ya Kiubunifu na Kishujaa kabisa umeamua Kutangaza ( Kututangazia ) Biashara yako ya Ushoga.

Usijali umesikika na Wateja watakuona.
 
Sema tu Simba haina muhamasishaji tena usisingizie hujuma. Haji anajua kuhamasisha.. Pengo lake limeshaanza kuonekana.
Wewe pumba..fu unaambiwa system ina shida. Kwani mhamasishaji unataka auhamasishe mtandao.? Utopolo ni Utopolo tu hamnaga akili kabisa! Pundugu!
 
Simba ili kuondoa aibu ya kuto ujaza uwanja, wangetumia shamba la Bibi. Kutaka kushindana na Wananchi hawawezi, Wananchi hawaitaji promo wenyewe wanakwenda kwa mapenzi.
Pumba...fu kabisa!
 
Nyie msilete visingizio apa tatizo lenu mnataka kushindana na yanga bila kujua yanga ni jeshi kubwa walishaset standard yao wenyewe na hata rekod wanavunja walizoweka wao na sio timu yoyote apa Tanzania, mnatafuta visababu mapema ili mtaposhindwa kujaza uwanja msingizie eti mmeujumiwa, nyie ni wapuuzi kweli yani tunaona mnatumia nguvu kubwa kutangaza hicho kitchen party chenu lakini hamtoweza kufua dafu kwa wananchi
Nigeria unakwenda mkuu?
 
Mfano wako wala hau apply kabisa hapa.Kwamba Manara alikuwa ni “Mzazi” wa Mashabiki?
Yes ,manara ni mzazi wa mashabiki wa Utopolo kulingana na comment yake
 
Hamna jipya hapo.Manara ana uwezo mkubwa sana wa hamasa hamsha hamsha hicho ni kipaji chake Mungu kamjalia
tapatalk_jpeg_1630688434287.jpg
 
Naona baada ya kukosa Wateja kwa muda mrefu na Soko lako Kudumaa sasa kwa njia ya Kiubunifu na Kishujaa kabisa umeamua Kutangaza ( Kututangazia ) Biashara yako ya Ushoga.

Usijali umesikika na Wateja watakuona.
Ndio inakuweka mjini, ndio maana lopolopo. Punguza japo kidogo ili dishi lirudie hali kawaida.
 
Simba ili kuondoa aibu ya kuto ujaza uwanja, wangetumia shamba la Bibi. Kutaka kushindana na Wananchi hawawezi, Wananchi hawaitaji promo wenyewe wanakwenda kwa mapenzi.
Endeleeni kwenda kuujaza uwanja kwa mapenzi ndo maana wanigeria hawataki kuchezea gemu wamepata mpenzi kiulaini saiv wanajilia tu kwa kwenda mbele, WAPI MAMA J kipenzi cha WANANCHI DEIIIIIIII
 
Ukiwasikiliza Mashabiki wa Yanga,ni kama wameshajikatia tamaa kabisa na matokeo ya uwanjani,wameamua kuwa washindani nnje ya uwanja.
Kweli kabisa, wamekua watu wa kuzusha vitu vya nj'e ya uwanja, msemaji wao leo katumia dakika nyingi kujisifia timu yao imekodisha Airbus go and return, sasa sijui iyo ndege ya ATCL ndio itapindua matokeo?? Yaani kuwa mshabiki wa yanga mbovu ni stupid to be honest
 
Watajwa hapo juu katika Headline yangu acheni Kutumia Uyanga wenu uliopitiliza kwa Kuihujumu Simba SC kwa kupitia Madaraka yenu ya Kiserikali mliyonayo kwani msipoangalia mtaleta Chuki, Mgawanyiko na kumfanya Rais Samia achukiwe na wana Simba SC kisha imgharimu pia Kisiasa.

Tunajua kuwa mpo katika Kikosi Kazi Maalum cha wana Yanga SC walioko Serikalini na wenye Nyadhifa Kubwa kutumika Kuihujumu Simba SC kwa kila namna kwa Maagizo ya Mstaafu Mmoja mwana Yanga SC lia lia mwenye Ushawishi mkubwa katika Serikali hii ya Rais Samia ( Bi. Hangaya )

Waziri Dk. Nchemba unajulikana hujawahi kuipenda Simba SC na kuna Kipindi ulipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ulitumia Nguvu kubwa sana Kuihujumu Simba SC pale ilipocheza na Prisons FC ya Mbeya ila wana Simba SC tulikunyamazia kwakuwa tumetawaliwa na Uungwana Uliotutukuka.

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Abbas Wewe ndiyo hata huwa hufichi Chuki zako za Wazi kwa Klabu ya Simba na ndiyo maana ulipokuwa Msemaji wa Serikali hukupenda kabisa Umaarufu mkubwa wa aliyekuwa Msemaji wa Simba SC Haji Manara uendelee na ulimkalia sana Vikao vya Kumchukulia Hatua ila Busara za Wakubwa wako zilitawala na ukatulia japo hukumpenda kwa alikuwa akikufunika Kiumaarufu Tanzania.

Waziri Dk. Nchemba na Katibu Mkuu Dk. Abbas msidhani wana Simba SC tulio na Akili nyingi na kubwa ( za Kuzaliwa nazo ) tena za Kuwazidi japo mna Doctorates zenu akina Mightier hatujui nini mnakifanya katika Kuihujumu Simba SC kwa Kushirikiana na Watu wa Data akina N-CARD ili Klabu ya Simba ikose Mapato na katika Siku ya Simba Day Jumapili tarehe 19 Septemba, 2021 Uwanja usijae ili nyie Wana Yanga SC Waandamizi na Yanga SC wengine muicheke Simba SC kuwa haikujaza katika Tamasha lao kama lenu.

Mwisho namalizia tu kwa Kuwataarifu Waziri Dk. Nchemba na Katibu Mkuu Dk. Abbas kuwa Klabu ya Simba leo kupitia Matawi yake yote inafanya DUA ya Kuiombea Baraka Klabu na ya Kuwaombea MABAYA wale wote wenye Hila, Husuda na Roho Mbaya dhidi ya Simba SC na Wanatumika kwa kila namna katika Kuihujumu.

Msije tu kusema Mightier sikuwaonyeni.
Intera amwe utamjuwa tu hata kwa maandishi yake, yamejaa chuki, uchochezi na unafiki kibao. Rubbish.
 
Back
Top Bottom