Uganda wanapitia kipindi kigumu sana chini ya dictator Museveni. Leo nimesikia DW ya ujerumani inasikitisha sana watu wanauawa na kuswekwa ndani kila kukicha kisa tu dictator hataki kukosolewa kabisa na yeyote. Bora hata JPM yeye alikuwa anawaua watu kisiri Siri lakini huyu anawaua hadharani kabisa.
Sijui kulikuwa na haja gani ya kumtoa Idd Amin wakati mnaingiza dictator hatari kuliko Idd Amin.
Alijaribu kujificha kwenye kichaka cha ushoga ili tu kuwahadaa wananchi kuwa hapendi dhambi kumbe ni muuaji wa kufa mtu. Wakina mama leo walikuwa wanalia sana kwamba watoto wao wanauawa daily na maaskari wanaotumwa na mamlaka.