Inasikitisha unamtoa madarakani kisa ni dikteta unaingiza dikteta mwingine mamlakini

Inasikitisha unamtoa madarakani kisa ni dikteta unaingiza dikteta mwingine mamlakini

B

Ben saa nane na azori gwanda. Hii ni mifano ya dhahiri ila Kuna makundi mengi ya watu walikuwa wanakutwa coco beach miili inaelea elea tu
Wacha uongo. Miili ikiokotwa inaelea haina maana yeyote ile.
Ben Saanane hajafa! angekuwa ameshakufa tungeona jina lake(avatar) hapa likisema amehakufa.

Unaweza kututajia hata jina la mmoja wa maiti iliyookotwa?
 
Back
Top Bottom