Hata Malawi?Africa ikiitoa Zambia na South kwingineko ni madikteta tupu
Akiondoka vita vya wenyewe kwa wenyewe haviepukiki. Hata jirani yake akiondoka vita ya wenyewe kwa haviepukiki.Na baada ya yeye kufa au kupoteza uwezo wa kutawala kwa sababu ya uzee, ATAMRITHISHA mwanaye wa kiume Muhoozi Kainerugaba.
Uganda kwisha kazi, imebakia nchi ya kifalme inayotawaliwa na ukoo mmoja. Hata Rwanda ni hivyo hivyo, baada ya Paul Kagame atakuja mwanaye.
Nafuu Kenya na Tanzania pamoja na madhaifu ya 'demokrasia zao' lakini hakuna mtu anatoboa zaidi ya miaka 10 kuanzia Nyerere alipo ng'atuka mwaka 1985
SIjamfuatilia snHata Malawi?
Kuna dictator asiyekuwa muuji? Mfano halisi ni jpmUdikteta hauna ubaya wowote. Na kuwa dikteta haimaanishi kuwa muuaji.
Sio kweli, hizi ni lugha za kuhalalisha wahuni kuendelea kukaa madarakani.Akiondoka vita vya wenyewe kwa wenyewe haviepukiki. Hata jirani yake akiondoka vita ya wenyewe kwa haviepukiki.
Mkapa na Kikwete walipokuwa wanaua wakati wa chaguzi za Zanzibar nao walikuwa madikteta?Kuna dictator asiyekuwa muuji? Mfano halisi ni jpm
Wote madictator ila jpm alitaka kuwazidi tu. Mana yeye alizima mpaka internet wakati wa uchaguzi ili polisi watuue vizuri mana hakuna wa kuripotiMkapa na Kikwete walipokuwa wanaua wakati wa chaguzi za Zanzibar nao walikuwa madikteta?
Eti magufuli alikuwa anawa ua kwa siri!, una kiwango kikubwa sana cha upumbavu kichwani mwako.Uganda wanapitia kipindi kigumu sana chini ya dictator Museveni. Leo nimesikia DW ya ujerumani inasikitisha sana watu wanauawa na kuswekwa ndani kila kukicha kisa tu dictator hataki kukosolewa kabisa na yeyote. Bora hata JPM yeye alikuwa anawaua watu kisiri Siri lakini huyu anawaua hadharani kabisa.
Sijui kulikuwa na haja gani ya kumtoa Idd Amin wakati mnaingiza dictator hatari kuliko Idd Amin.
Alijaribu kujificha kwenye kichaka cha ushoga ili tu kuwahadaa wananchi kuwa hapendi dhambi kumbe ni muuaji wa kufa mtu. Wakina mama leo walikuwa wanalia sana kwamba watoto wao wanauawa daily na maaskari wanaotumwa na mamlaka.
Niambie jpm alimuua nani ?Kuna dictator asiyekuwa muuji? Mfano halisi ni jpm
Niambie jpm alimuua nani ?
Ben saa nane na azori gwanda. Hii ni mifano ya dhahiri ila Kuna makundi mengi ya watu walikuwa wanakutwa coco beach miili inaelea elea tuNiambie jpm alimuua nani ?
Wewe ni poyoyo,na ni janga kwenye ukoo wenu.internet haikuzimwa kwa jpm tu.Wote madictator ila jpm alitaka kuwazidi tu. Mana yeye alizima mpaka internet wakati wa uchaguzi ili polisi watuue vizuri mana hakuna wa kuripoti
Ukiona Samia naye amezima internet unishtueWewe ni poyoyo,na ni janga kwenye ukoo wenu.internet haikuzimwa kwa jpm tu.
Hujui lolote wewe,azory gwanda alikuwa mwana siasa mpk auliwe na jpm?, na hata huyo unayemwita saa nane!,kwa sababu ipi mpk auliwe na jpm!?, alikuwa na umaarufu upi mpk awe kitisho kwenye utawala wa jpm?!. Wakati mwingine tuache chuki za kishetani.hata kama sisi ni wapinzani,ifikie kipindi tujifunze kusema ukweli,wananchi wanao tusoma wana akili za kuchuja pumba na Michele.B
Ben saa nane na azori gwanda. Hii ni mifano ya dhahiri ila Kuna makundi mengi ya watu walikuwa wanakutwa coco beach miili inaelea elea tu
JPM kama angetaka kuua basi namba moja angekuwa JK,Membe,Kinana, January,Nape nk lakini Mzee wa watu yeye alikuwa anataka kubadilisha mfumo wa uongozi wa nchi.Hujui lolote wewe,azory gwanda alikuwa mwana siasa mpk auliwe na jpm?, na hata huyo unayemwita saa nane!,kwa sababu ipi mpk auliwe na jpm!?, alikuwa na umaarufu upi mpk awe kitisho kwenye utawala wa jpm?!. Wakati mwingine tuache chuki za kishetani.hata kama sisi ni wapinzani,ifikie kipindi tujifunze kusema ukweli,wananchi wanao tusoma wana akili za kuchuja pumba na Michele.