Bams JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 19,362 Reaction score 48,879 Jan 4, 2024 #21 Bejamini Netanyahu said: Africa ikiitoa Zambia na South kwingineko ni madikteta tupu Click to expand... Kuna nchi chache za Afrika angalao zipo kwenye unafuu kidemokrasia na utawala wa sheria. Zambia Kenya South Africa Ghana Liberia Botswana
Bejamini Netanyahu said: Africa ikiitoa Zambia na South kwingineko ni madikteta tupu Click to expand... Kuna nchi chache za Afrika angalao zipo kwenye unafuu kidemokrasia na utawala wa sheria. Zambia Kenya South Africa Ghana Liberia Botswana
SYLLOGIST! JF-Expert Member Joined Dec 28, 2007 Posts 8,189 Reaction score 7,853 Jan 4, 2024 #22 deblabant said: B Ben saa nane na azori gwanda. Hii ni mifano ya dhahiri ila Kuna makundi mengi ya watu walikuwa wanakutwa coco beach miili inaelea elea tu Click to expand... Wacha uongo. Miili ikiokotwa inaelea haina maana yeyote ile. Ben Saanane hajafa! angekuwa ameshakufa tungeona jina lake(avatar) hapa likisema amehakufa. Unaweza kututajia hata jina la mmoja wa maiti iliyookotwa?
deblabant said: B Ben saa nane na azori gwanda. Hii ni mifano ya dhahiri ila Kuna makundi mengi ya watu walikuwa wanakutwa coco beach miili inaelea elea tu Click to expand... Wacha uongo. Miili ikiokotwa inaelea haina maana yeyote ile. Ben Saanane hajafa! angekuwa ameshakufa tungeona jina lake(avatar) hapa likisema amehakufa. Unaweza kututajia hata jina la mmoja wa maiti iliyookotwa?