INASIKITISHA! Wastaafu wageuka ombaomba, vijana tuwe makini

Mwogope Mungu sana!
Kuna watu walifanya kila ubaya leo wanaishi vizuri sana.
Kuna walionea watu kwa rushwa,kupata mapato ya laana mfano kuavia mimba,kuua na kafara mbali mbali na leo wamezeeka wanaishi kwa furaha.

Kuna waliokuwa na mishahara ya kawaida, walisaidia ndugu hadi wakachelewa kufanya maendeleo yao binafsi.Leo wana stress watu waliowasaidia hawapo tena kwa ajili yao.Wanahangaika na huenda hata wake zao waliwasaliti kwa sababu ya kipato kidogo.Leo wanateseka.

Njia za Mungu ni ngumu,unapswa kutimiza wajibu wako tu na kushukuru kwa chochote utakachopata,usichoke tu maana utavuna kwa wakati wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…