Inasikitisha. Watoto wa walipa tozo na watoto wa wakusanya tozo

Inasikitisha. Watoto wa walipa tozo na watoto wa wakusanya tozo

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
1000028747.jpg
 
Something wrong.
Mabepari washatia mguu kitambo tangu Mwigulu akiwa kijana wa primary. Hivyo kupambana na mfumo dhalimu si kazi ndogo. Jitahidi nawe ujijengee mfereji
 
...... Watanganyika amkeni mchukue nchi yenu........

Sijaelewa hapo ana maana fani, au kuichagua Chadema ndio Watanganyika kuchukua nchi yao?
 
Mshahara wa waziri hautoshi kumfanya asomeshe mtoto Feza? Kama mshahara unatosha Shida yako ni nini?

Hata Mungu mwenyewe hajatuumba Sawa Sawa ndio maana wengine wazima wengine walemavu .
Wengine wafupi wengine warefu, wengine wengine weupe.
 
Kuna watoto baba zao wanashinda kwenye vilabu vya pombe, unategemea nini?

Unapanda mbigili unatarajia kuvuna mpunga?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Acha dhihaka sababu wewe unacho usizani wanapenda kuwa masikini na kushinda hayo maeneo
 
Acha dhihaka sababu wewe unacho usizani wanapenda kuwa masikini na kushinda hayo maeneo
Wacha dhihaka wewe uliyeweka picha za watoto na kuwadhania kuwa ni masikini.

Hao watoto mngeweka na wazazi wao kama mlivyoweka ya Mwigulu.

Wana dhambi gani?
 
Ushajiuliza aliyepost hivyo mwanae anasoma wapi?
Tutengeneze hoja Zenye mashiko Kama kwel tuna lengo la kuokoa taifa letu
 
Back
Top Bottom